Hii ndio filamu inayosemekana kusababisha kifo cha marehemu Kanumba

Baada ya marehemu kanumba kufariki inasemekana kuwa alikuwa Freemason na kuigiza kwake movie hii kulitoa baadhi ya siri za Freemason ambazo hazikupaswa kujulikana na ndio maana hao freemason wakamuua kwa sababu alitoa siri zao ambazo hazikupaswa kujulikana kwa jamii.

I strongly disagree! Kwani Kanumba ndio wa kwanza kutoa hizo siri zao? Na kwanini afe peke yake, what about the rest...aloshirikiana nao kuandaa hiyo filamu??
 
Yep. nadhani wewe umenielewa mkuu. Once you are in there is no getting out. Hata kama ukimrudia Mungu wako lazima watakuua tu.
kwa hiyo unamaanisha hao watu wana nguvu kuliko Mungu?? Siamini...kumbuka If God says NO....hata wangemmiminia risasi za moyo asingekufa!! U better say something else... not this man!!
 
...."eti hata Ramsey Nouh alipata ajali mbaya Nigeria...ila roho yake ikawa ngumu kama ya pakka..."
yako mtaani haya maneno.
 
I strongly disagree! Kwani Kanumba ndio wa kwanza kutoa hizo siri zao? Na kwanini afe peke yake, what about the rest...aloshirikiana nao kuandaa hiyo filamu??

hilo SWALI najiuliza sana MDAU,vp wale wengne?alama za vidole walionesha wote,what z abt ramsey?ye ndo mkuu wao kama alivoakt
 
Inavyosemekana kabla kanumba hajafariki kuna movie alikua anatengeneza inaitwa ndoa yangu(bado haijatoka) na sio hiyo devil kingdom,kwenye hiyo movie ameact kua alisukumwa,akaanguka na kufa. So imekua kama alijitabiria kifo chake mwenyewe..
Source:msanii mwenzie aliyeact nae kwenye hiyo film
Correction: ni power of love
 
I strongly disagree! Kwani Kanumba ndio wa kwanza kutoa hizo siri zao? Na kwanini afe peke yake, what about the rest...aloshirikiana nao kuandaa hiyo filamu??

Tofauti kati ya Kanumba na hao wengine ni kwamba Kanumba yeye alikuwa ni Freemason. Saa movie hiyo ambayo ameiigiza imetoa baadhi ya siri za freemason ambazo hazikupaswa kujulikana kwa jamii ingawa jamii halilitambui hilo.
 
hilo SWALI najiuliza sana MDAU,vp wale wengne?alama za vidole walionesha wote,what z abt ramsey?ye ndo mkuu wao kama alivoakt

Unajua kila kitu katika maisha huwa kuna mipaka yake. Hata wao wana siri ambazo hazipaswi kuulikana na mtu yoyote zaidi yao. Hizo sign ni mambo ya kawaida kama zilivyo sign za madehebu mengine wala hakuna cha ajabu hapo.
 
no bana, cjamkosoa,nimependa kwani kuna mtu wangu wakaribu sana,anapenda kusema ,naangalia senema..
Young nawewe!? Lol

Mhmmm!!! haya bwana swts. Anyway ilikuwa nakuchokoza tu. DOnt mind.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom