Hii ndio filamu inayosemekana kusababisha kifo cha marehemu Kanumba

....fafanua YM... How?

Baada ya marehemu kanumba kufariki inasemekana kuwa alikuwa Freemason na kuigiza kwake movie hii kulitoa baadhi ya siri za Freemason ambazo hazikupaswa kujulikana na ndio maana hao freemason wakamuua kwa sababu alitoa siri zao ambazo hazikupaswa kujulikana kwa jamii.
 
Imesababisha kifo kivipi? Wakati wana-act ndio alidondoka?

Hapana hiyo sio sababu iliyomuua. Kwani ni ajabu mtu kudondoka wakati anaigiza? Au hujawahi kuona hilo? Soma post yangu moja baada ya nyingine utaona maelezo yangu ni kwa nasema filamu hii inasemekana kusababisha kifo cha Kanumba.
 
Kwani Title yangu inasema Kanumba Ndio amesema hivyo au nimesema kuwa inasemekana kuwa imesababisha kifo chake? Na tokea lini mtu aliyekufa akaongea?

"inasemekana'' hivi hapo unamaanisha nani aliyosema?? Hiyo muvi ndo imesema? Au ni wewe? Je ni kitu gani kimesema. sielewi elewi
 
Inamaanisha hiyo movie sio tuu K ali act bali ilikuwa kweli!. Kwenye movie walisema "once in", you are in for it, there is no geting out!. Kwenye movie walionyesha K akipiga goti kutubu na kumrudia Mungu wake, ila in reality hakuna kutubu!, ukishaingia humo ndio umeingia na hakuna kutoka, K alipotaka kutoka ndipo kikampata kilichompata na kumtoa jumla!.

Yep. nadhani wewe umenielewa mkuu. Once you are in there is no getting out. Hata kama ukimrudia Mungu wako lazima watakuua tu.
 
Inavyosemekana kabla kanumba hajafariki kuna movie alikua anatengeneza inaitwa ndoa yangu(bado haijatoka) na sio hiyo devil kingdom,kwenye hiyo movie ameact kua alisukumwa,akaanguka na kufa. So imekua kama alijitabiria kifo chake mwenyewe..
Source:msanii mwenzie aliyeact nae kwenye hiyo film

Actually hakujitabiria kwa sababu hakuna ajuaye siku yake ya mwisho ila baba wa Mbinguni. Kanumba alijua kosa alilolifanya kwa kutoa siri za hawa jamaa na alijua kuwa ni lazima atakufa na alijua ia ni kitu gani kitakachomuua na ndio maana katika hiyo movie yake ya mwisho ilionyesha ni jinsi gani atakavyokufa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom