Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Muache unafki kama ndio harakati zenu mshambulie wasanii wote hadi akina Hbaba na pia msisahau kuacha kushabikia Simba sc maana hata bosi wenu alikuwa anamuunga mkono mgombea urais wa chama fulani. Nakumbusha kila mtu mumgomee na sio kuchagua sehemu za kufanyia harakati. MUACHE UNAFKI
 
Kwani ni lazima raia wampigie kura Zuchu?
 
Unapooneshwa mwezi nawe usiangalie kidole.
Hakik bora uangalie Jua.
Screenshot_2020-10-08-23-57-29-1.jpg
 
Ila unafiki tumeurithi kwa Polepole ujue.View attachment 1598260
Muache unafki kama ndio harakati zenu mshambulie wasanii wote hadi akina Hbaba na pia msisahau kuacha kushabikia Simba sc maana hata bosi wenu alikuwa anamuunga mkono mgombea urais wa chama fulani. Nakumbusha kila mtu mumgomee na sio kuchagua sehemu za kufanyia harakati. MUACHE UNAFKI
 
Muache unafki kama ndio harakati zenu mshambulie wasanii wote hadi akina Hbaba na pia msisahau kuacha kushabikia Simba sc maana hata bosi wenu alikuwa anamuunga mkono mgombea urais wa chama fulani. Nakumbusha kila mtu mumgomee na sio kuchagua sehemu za kufanyia harakati. MUACHE UNAFKI
Hakika tutaacha baada ya tuzo hizo.
JamiiForums409068559_680x455.jpg
 
Waliosema Kura ni siri yako wewe mpiga kura awajakukosea kabisaaa Ndugu zetu wasanii mjifunze na hizi semi .
 
Wasanii ni sehemu ya ukombozi wa jamii.
Kama msanii unatetea tabaka tawala huo ni udwanzi kama wasanii wa Ccm.

Zuchu tunakupenda lakini sio kwa kuichezea ccm. Hapo ni sawa na kuhalalisha unyanyasaji, uuaji na utesaji kwa wapenzi wa mziki wako..
Kama vp jitenge na siasa. .
 
Wewe mtoto,wewe mtoto,wewe mtoto....nimekuita mara tatu itika.Kumbuka kupotea kwa Ben Saanane,Azory Gwanda na wengineo.Kumbuka kupigwa risasi kwa Tundu Lissu,kumbuka manyanyaso kwa watumishi wa umma na Wazee wastaafu,kumbuka manyanyaso kwa wakulima na wafanyabiashara.Nafahamu wewe ni mnufaika na uwepo wa ccm so,haupo kwenye kundi lolote kati ya hayo niliyoyataja lkn,Zuchu ameungana na watesi na wauaji wa jamii yake hastahili kutendewa wema hata kidogo!
Umemsahau msanii mwenzao Roma Mkatoliki
 
Wapunbavu na wakome
Alaf mzee wale sio kama wanapenda kufanya zile kampen...wale wameshikwa pabaya...Wanatumia TCRA na Basata kuwanyosha hao wasanii..

Muone jide kilichomkuta tayar anaambiwa amechochea uvutaji bangi kisa kagoma kwenda kweny kampen.

Hao wasafi walifungiwa kwa kichaka cha maudhui lakin ukwel jamaa walikua wnapost habar za lisu...sasa tangu wmerud hewan umeona hata post ya upinzan tena? Clouds nao vile vile...sas mond hapo akipiga hesabu unafkr atagoma?

Shida hapa sio wasanii shida ni Watanzania wote...leo tukisema tuingie barabarn kudai haki zetu mzee utatoka? Okey tuseme we jembe utatoka..je jiran yako atatoka?

Tusiumize mtu individual kweny vita ya taifa zima...zuchu anaangalia ugal wake kama mtu mwingine yule ambaye atagoma kudai haki za msingi....

Basi tukitoka kwa wasanii tuamie wapi kugoma kutibiwa kweny hospital walizojenga ccm au? Kama hii ndo strategy ya kuitoa ccm basi ccm wana miaka 1000 tena mbele

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Hakika tutaacha baada ya tuzo hizo.View attachment 1598261
Wasanii ni sehemu ya ukombozi wa jamii.
Kama msanii unatetea tabaka tawala huo ni udwanzi kama wasanii wa Ccm.

Zuchu tunakupenda lakini sio kwa kuichezea ccm. Hapo ni sawa na kuhalalisha unyanyasaji, uuaji na utesaji kwa wapenzi wa mziki wako..
Kama vp jitenge na siasa. .

Huo ushauri muwashauri na wasanii wengine na sio kuchagua baadhi pili hata Mo alionesha kuunga juhudi basi itakuwa ni harakati kweli mkigomea kushabikia Simba sc na bidhaa zake lakini sio kufumbia vitu vingine.
 
Back
Top Bottom