Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Hii iwe fundisho kwa wasanii wote,mmejinasibisha mko upande gani badala ya kuwa neutral basi waombeni kura wanachama wenzenu.

View attachment 1597596View attachment 1597599View attachment 1597601View attachment 1597598View attachment 1597598

Wewe kweli kichwa maji! Hivi wewe ulishawai kuhudhuria hata show moja ya msanii? Hivi mbona Ney wa mitego ana washabikia ? Yeye ni mwema sana? Hamna msanii atahanguka kwakuwa amewashabikia CCM! Nyie chadema ni wajinga wajinga na kila siku huwa mnashindwa kwenye kila jambo! Hamuwezi kumuangusha msanii yeyote yule ndio maana wakipiga show popote wanatokea!


Chadema huwa mnasema uhuru mnadhani uhuru ni kuishabikia chadema tuu hahahah!
 
Wasanii hawa,mara hili mara lile..mara Diamond zamani,mara....

Hatuko huko...tuko leo hapa tunazungumzia award ya Zuchu

Leo kwenye hii nomination unadai kuna "utimu"..

Nikakuuliza leo kuna "Timu Zuchu" na "Timu Nani" wanapambana?

Hakuna opponent...hivyo hoja yako ya eti "utimu" kwenye hii ishu ya leo haipo...

Leo ni wafuasi wa Chama kingine walipoona Zuchu anapendelea Chama Cha Mapinduzi imebidi apoteze wafuasi wale wa vyama vingine...

Ndio athari yake.....

Mwanamuziki hua ana wafuasi wa vyama vyote,ila akionesha mapenzi yake kwa chama kimoja na ku-diss vingine directly anafukuza wafuasi wa hivyo vyama alio-diss

Ndio kilichotokea hapa...Zuchu na hao wengine should deal with their own stupidity....

Hahahaha pole sana mkuu najua wimbo wa Zuchu umekuuma sana hahahaha
 
Trust me hao ni fan wa upande wa pili...mim siwez mchukia lets say Kiba kisa ccm...kuna maisha ni personal atajua yeye mwenyew msanii...

Na wasanii sio kama wanpenda...Ukileta kiburi jamaa wanakula sahani moja naww kuptia basata na tcra...Mda msanii anafungiwa Shabiki upo zako geto umelala...tusifanye kama hatuijui hii bongo yetu...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Aaa wataweza kweli...aawapi.Mkuu walioambiwa wameweza bila shaka.wakati mwingine lazima uvune unachopanda.Wakati nao ni mwamuzi mzuri.Tuzo zingekuja baada ya uchaguzi mambo yangeweza kuwa tofauti.
 
Aaa wataweza kweli...aawapi.Mkuu walioambiwa wameweza bila shaka.wakati mwingine lazima uvune unachopanda.Wakati nao ni mwamuzi mzuri.Tuzo zingekuja baada ya uchaguzi mambo yangeweza kuwa tofauti.
Sasa mbna wanaowania tuzo sio zuchu peke yake..Nandy,kiba, harmonize, Diamond..why zuchu?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Tatizo pia wimbo wake umetrend sana ktk kampeni.Halaf ile lebo imeonekana Ni km ya chama.
Kwaiyo demu ni mkali sio ? Kama walotoa ngoma za ccm inaskika yake tu ...

Alaf kusema wimbo unatrend inaamna yeye ndo ccm kuliko wasanii wengne wote kweny list ya ccm?

Na label kua ccm sio WCB tu...ni label zote na wasanii karbia wote ni ccm kwann huyu mmoja tu?

Hapa mi naona ni team tu.. ingekua kua ccm kwel basi alikiba ,nandy harmonize wote hao wangewashiwa moto...au wao ni ccm vuguvugu

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
na ikitokea huyu zuchu akashinda tuzo angalau moja ya kimataifa kwa mwaka huu, litakuwa PIGO jingine kubwa kwa @Upinzani uchwara wa kibongo baada ya lile la October 28....

ZUCHU (the female version of DP) we are behind you..! Tutakusapoti
Aiseee... Nimeona bora nirudi kufukua oni langu hapa, nilisema na bado narudia kusema, vipigo bado vinaendelea
Mnamletea chuki mpambanaji? Wakati nyie hata kuingia road kupambania mnachokiamini hamuwezi?
Narudia tena "NA BADO"
 
Back
Top Bottom