Hii ndiyo Dubai bwana

ITR

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
4,382
11,222
Jamani eh tukubali tukatae watu waupe wametupiga gepu kubwa sana na tuna tuna safari ndefu kuwapata.
Ebu angalia Dubai alafu ujiulize Dar au Kampala zikija kufikia hatua hii itakuwa ni mwaka gani.

FB_IMG_16746026332382793.jpg
FB_IMG_16746026191523681.jpg
FB_IMG_16746025961256284.jpg
FB_IMG_16746025462861672.jpg
FB_IMG_16746025277248006.jpg
FB_IMG_16746025107256969.jpg
FB_IMG_16746024856332951.jpg
FB_IMG_16746024698418113.jpg
FB_IMG_16746024540476929.jpg
FB_IMG_16746024379521166.jpg
FB_IMG_16746024188363330.jpg
FB_IMG_16746024039833847.jpg
FB_IMG_16746023913568063.jpg
FB_IMG_16746023508200139.jpg
 
Hii miji ipo hivyo kweli au ni picha za kompyuta haswa mpakato
 
Nimeshangaa unaitaja Dar na Kampala unalinganisha na Dubai

Hata baadhi ya majiji makubwa ya Marekani, Ulaya na Far East Asia hayaifikii Dubai
 
Dubai tu unashanga hivyo? Ukifika los Angeles, New York au shanghai si utatambaa kabisa
Los angeles na new york hazipo kwa the most modern cities in the world kwenye top 10. Jiji lililopo ni san francisco na ndilo linaongoza kwa marekani kwa kuwa modern. Majiji mengi yaliyomo ni nchi za Asia maana yamejengwa miaka ya hivi karibuni hivyo yana ylubunifu wa kisasa na technology za kisasa zaidi
 
Back
Top Bottom