Kalumbesa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,013
- 356
kiwango cha elimu ya mnyika ni kipi???? wangapi tunawajua walikuja mlimani na one za 3 wakaishia ku disco
haimaanishi ukienda chuo na one ya 3 basi wewe ndio umeshapata degree!! inategemea unafanya nini hapo chuo ebo! unayemjua wewe aliyeenda na one ya 3 ni nani? ili tupekue mafaili tuone kama alikuja kusoma ama alikuja kujivunia one yake ya 3 asijue kwamba mwisho wa siku anatakiwa kufaulu na pepa za chuo