Hii ndio aibu itakayomfuta rasmi Lowassa kwenye siasa!

Kama ilivyokuwa kwa Mrema hatimae ni zamu ya Lowassa kuporomoka kisiasa.

Uchaguzi mdogo wa juzi umeonesha kuwa huyu mzee si lolote.

Namshauri atangaze kustaafu siasa maana aibu ya karne itakuwa kushindwa vibaya kwa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kuna viti vingapi walivyokuwa wanashikilia vimenyang'anywa?
 
Kama ilivyokuwa kwa Mrema hatimae ni zamu ya Lowassa kuporomoka kisiasa.

Uchaguzi mdogo wa juzi umeonesha kuwa huyu mzee si lolote.

Namshauri atangaze kustaafu siasa maana aibu ya karne itakuwa kushindwa vibaya kwa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

watu wengine mnatafuta kuelekezewa dole la kati kwenye maeneo ya kukalia..basi tu sheria ya kutukana haijakaa sawa!
Ikiwa ataporomoka si ndo itakuwa furaha kwako? Unachokatika viuno sasa kitu gani?
 
Kama ilivyokuwa kwa Mrema hatimae ni zamu ya Lowassa kuporomoka kisiasa.

Uchaguzi mdogo wa juzi umeonesha kuwa huyu mzee si lolote.

Namshauri atangaze kustaafu siasa maana aibu ya karne itakuwa kushindwa vibaya kwa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Upumbavu mtupu halafu avatar" philosopher" haiendani na usheikh yahya wako.
Umwambie yule bosi wako wa kule mto ngono katika kijiji cha katerero aachie fair play ground ajipime ubavu na huyu unayehangaika naye kwa miongo. Mwambie huyo atoke mtoni akutane na mwenzie kwenye uwanja wa siasa. Mwambie aache kupiga katerero demokrasia ya TZ ndio apime maji.
 
53cf58f509614bde89398f9ed3006e89.jpg
 
Vijana wa lumumba naona amna kuja Hoja za nitoke vipi kwa akili ndogo tu kwanin mkuu kazuia siasa Hadi 2020
 
Ningewashauri wafuatao wastaafu tu siasa na kuacha damu changa iendelee na siasa;

1. Mbowe. 2. Lowasa. 3. Zito. 4. Maalim. 5. Kingunge.

Yaani ukisikia vinganganizi wa siasa na wakati siasa imewakataa ndio hao.
 
Wengi wenu humu na nchi hii bado wachanga sana kwenye haya mambo!
Maisha ya mtume Mohamad, Paulo, Mandela n.k yana mengi sana ya kutufundisha.
It reaches a point in life, as a true human being; you completely turnaround and be born again..
A point where you completely transform into a brand new, happier, wiser, rewarding and meaningful personality..!

Kama Lowasa yupo kwenye List of shame ya chadema,

Iweje tena chadema hao hao wamtembeze nchi nzima kumuombea kura awe rais wa Tanzania??
Kwa tope hili hata kama ni lofa utazinduka
 
Back
Top Bottom