Hii ndege(5H-ZAI) ni ya nani na hufanya nini kwenye mbuga ya Selous?

Mkuu hapa umemaliza kila kitu....Yaani umetutafunia Mfupa na kutumezesha...hii ni kidogo kati ya makubwa tunayoweza kuyaweka hapa,huko Tabora kwenye pori LA akiba ana vitalu sehemu ya
Ugunda na Ugalla, anavuna tembo na wanyama pori kama kawafuga
yeye
Tunapsema CCM ni "dubwana kubwa,siku ya "kuliua" lazima liondoke na damu na uhai Wa watu,Tunakuwa na maana kubwa
KWELI HII NI HATARI sana/
 
Ninachowapendea jf kwenye suala la wizi wa nyara za umma tunaweka itkad zetu pemben ila kuna wale wanaopewa buku saba sabA pale rumumba ndo hawatak hata kusikia ndugu yangu weee buku saba itakupeleka wap wewe
 
Mkuu,JF ilianza kupoteza radha baada ya uchaguzi Mkuu Wa 2010...CCM kwa mshituko mkubwa kipoteza majimbo mengi na hasa ya Mjini kama Iringa,Mbeya,Ubungo,Kawe,Arusha na Mwanza mjini I.e Ilemela na Nyamagana.

Iliundwa Kamati ya Bwana Wilson Mkama ili kujua tatizo,Moja ya sababu walioitaja kupunguza majimbo yao ni
Mtandao wa JF,baada ya uchaguzi na hiyo report waliweka mkakati Wa "kuvamia" mitandoani.
Kweli wamevamia sana,kwa jazba wanachangia post ili tu kuvuruga mijadala na kuwaondoa watu kwenye mstari,kwa kiasi wamefanikiwa.Mpaka hay a makundi ya kugombea Urais yana imani kuwa yanatakiwa kuweka vijana kwenye mitandao ili kuyajenga,Vijana wananunuliwa "bundle" na Device ili wamshambulie mgombea mwingine na kumsafisha Wa kwao.Hapo ndipo JF iliofikia kwa sasa

Mkuu barafu hii ni kweli kabisa, ukiangalia watu kama FaizaFoxy, simiyu Yetu, LAKI @sipesa, mussa ALAN na wengine wengi utagundua kuwa wanalipwa ili kuvuruga mijadala mhimu humu ndani ya JF,.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,JF ilianza kupoteza radha baada ya uchaguzi Mkuu Wa 2010...CCM kwa mshituko mkubwa kipoteza majimbo mengi na hasa ya Mjini kama Iringa,Mbeya,Ubungo,Kawe,Arusha na Mwanza mjini I.e Ilemela na Nyamagana.

Iliundwa Kamati ya Bwana Wilson Mkama ili kujua tatizo,Moja ya sababu walioitaja kupunguza majimbo yao ni
Mtandao wa JF,baada ya uchaguzi na hiyo report waliweka mkakati Wa "kuvamia" mitandoani.
Kweli wamevamia sana,kwa jazba wanachangia post ili tu kuvuruga mijadala na kuwaondoa watu kwenye mstari,kwa kiasi wamefanikiwa.Mpaka hay a makundi ya kugombea Urais yana imani kuwa yanatakiwa kuweka vijana kwenye mitandao ili kuyajenga,Vijana wananunuliwa "bundle" na Device ili wamshambulie mgombea mwingine na kumsafisha Wa kwao.Hapo ndipo JF iliofikia kwa sasa

= ladha
 
Mkuu@Lizaboni njoo huku....hiyo ndege ni kama wengine tu wanavyotoa costa au bus kwenda Arusha...Njoo uone mmiliki huku
 
Kwa kuwa hii ni jambo forums na ilikuwa inapiga kazi toka 2005 naamini kuwa hili swali dogo hamshindwi kupata majibu yake maana mmliweza kuibua makubwa zaidi

Lakini swali ni je hii ndege ni ya nani (achana na majina makanjanja yaliyowekwa BRELA) nazungumzia ni waziri yupi na partners wake wana own hii ndege na na hii ndege huwa inafanya nini kule Selous na huwa inaleta nini toka selous?

Usiku mwema

593893.jpg

JF aka tawi la kitengo maalum watu washaweka mambo wazi hapa:
"We hujui kwani, kama ile mbuga iko kwenye mnada"
 
Hakuna jina baya hapa duniani kama JANGILI na maana halisi anaijua NYERERE Pekeake.

Kwa kuwa me sina uwezo wa kuwaadhibu hao wakubwa hasa k.nana, nachukua fursa hii KUWALAANI hadharani.
 
Back
Top Bottom