Elections 2010 Hii nchi ya CCM

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
UNAWEZA UKASEMA NINA MAWAZO MGANDO LAKINI HII NCHI NI YA CCM! WAMETAWALA KILA KITU KUANZIA MEDIA,WASANII WETU MASKINI,WAKULIMA WETU MASKINI NA WW UNAESOMA HII MESAGE, ANGALIA KAMPENI ZA CCM WANATANGAZA AMANI NA MAENDELEO VITU AMBAVYO NI VYA UJUMLA, JE KUHUSU AJIRA KWA VIJANA KATI YA VIJANA KUMI MMOJA TU NDIO ANA AJIRA{ooh pole ulikuwa hujui...pole sana utakuwa ccm ww}, kwa mtazamo wangu hii nchi inaitaji maendeleo na tukipata viongozi wenye nia na nchi hii tutakuwa kama Japani,Sijui kama CCM,CHADEMA,CAFU AU NCCR WANAWEZA KUTULETEA MAENDELEO KATIKA NCHI HII....!BALI KURA YAKO NDIO INAUWEZO YA KUMCHAGUA KIONGOZI MUADILIFU NA MWENYE UCHU NA MAENDELEO YA NCHI HII...TAIFA.....KATIBA....CHAMA.
 
Mhh Baba Juice, wewe uko upande gani?? Mwanao huyo juice ni ya ukwaju, mapera, tikitimaji,passion, chungwa, ndimu au bamia???
 
Nakubaliana na mtazamo wako tuangalie Wanaodhani maendeleo yatakuja kwa Misaada hatuwataki 'TUWAKIMBIE" wanaofikili misaada itatufikisha mbali hawana maono ya kuibadilisha nchi hii kama japan
 
Back
Top Bottom