Mkuu nimecheka mpaka watu wananishangaa kwenye "tube".Hii nchi walimu wanaofundisha uraia wanakazi ngumu sana, unaweza kufundisha asubuhi majina ya viongozi mfano mkuu wa mkoa au waziri, kabla hujamaliza kipindi yule uliyemtaja sio tena waziri au mkuu wa mkoa...
By Deadbody
itabidi somo la uraia lifutwe tu, halima maana tena. viongozi tutawasoma kwenye historia tuHii nchi walimu wanaofundisha uraia wanakazi ngumu sana, unaweza kufundisha asubuhi majina ya viongozi mfano mkuu wa mkoa au waziri, kabla hujamaliza kipindi yule uliyemtaja sio tena waziri au mkuu wa mkoa...
By Deadbody