Hii nchi tulipata laana? Tuna tatizo kubwa la kutekeleza miradi mikubwa

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,842
Wakati tunaangaika na Reli wenzetu kwenye mwaka wa tatu huu SGR yao ishaanza kazi na inabeba mzigo kweli kweli kutoka Mombasa kwenda Nairobi.

Wakati tunabishana na bandari ya Bagamoyo wenzetu Kenya tayari bandari ya lamu walishazindua na itakuwa inabeba mzigo wa Somalia, Sudani, Ethiopia na nchi zingine sisi ndio kwanza tunabishana juu ya mradi ufanyike au usifanyike!

Wakati tunafunga Maduka ya kubadilishia pesa wenzetu Kenya Ukiwa Nairobi hata SAA 9 usiku unabadilisha pesa yako maduka ya kubadilisha pesa yamejaa kila konda mtaani na kwenye mahoteli.

Wakati tunajenga barabara kubwa ya kwenda Kibaha wenzetu walishajenga Thika highway miaka 10 iliyopita tena Thika highway haina kizuizi cha taa hata kimoja yaani ukitoka umetoka mpaka unafika unakoenda ila sisi angalia tunavyopanua ile barabara kwenda Kibaha kama kweli itaruhusu movement ya magari kutoka mjini bila kusimama mpaka Kibaha na hiyo stand ya Magufuli pale Mbezi.

Angalia madaraja yaliyojengwa halafu yanawekewa taa hii kitu haipo unapojenga fly over duniani kote unatakiwa kuweka njia za automatic rotation ya magari yote kutoka sehemu zote! Madaraja yote yanayojengwa kwenye makutano Dar yanahitaji marekebisho makubwa.

Juzi tulibishana kuhusu Mahindi kupelekwa Kenya wenzetu wakaja na wazo la kujenga mradi mkubwa wa umwagiliaji ambao utaweza kulisha Kenya na kuuza nje chakula na usishangae wakaanza kutuuzia tena mahindi kwa bei nafuu kuliko sisi tunavyowauzia.

Nchi yetu ina shida sana kwenye kufanya project kubwa kubwa
 
Nchi yetu inaongozwa na mijitu isiyoelewa chochote kuhusu kinachoendelea duniani hasa lile lisanamu la Chato lililotaka mpaka kujiongezea muda wa kukaa magogoni wakati lilokuwa likojijua linaishi kwa msaada wa betri ya mchina
Angalia hiyo project yao ya umwagilijia
IMG_20210705_190940.jpg
IMG_20210705_190936.jpg
IMG_20210705_190927.jpg
IMG_20210705_190932.jpg
 
Nchi yetu inaongozwa na mijitu isiyoelewa chochote kuhusu kinachoendelea duniani hasa lile lisanamu la Chato lililotaka mpaka kujiongezea muda wa kukaa magogoni wakati lilokuwa likojijua linaishi kwa msaada wa betri ya mchina
Betri? Umewekewa na wataalam,usiku unawasema mabeberu.Chama hata kuchaji hatujui.tukashindwa kumshauri aache kutamka mabeberu
 
Wanaoenda kuswalishwa na huyo askofu punda wa ngada hawana akili wote.

Askofu haelewi hata kwamba Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema zaidi kwa miaka 5.

Askofu haelewi hata kwamba kuna Corona na nchi nyingi zimekumbana na negative economic growth isipokuwa Tanzania.
 
Angalia kwenye utalii pamoja na kujenga KIA international airport but bado watalii 80% wanakuja East Africa wanashukia Nairobi

Yaani tumeshindwa kutengeneza business plan ya jinsi gani watalii washuke moja kwa moja Tanzania?

Naomba serikali wanipe hii kazi Mimi nina uhakika ndani ya miaka 5 watalii wote watashuka Hapa kwetu maana Nairobi hakuna vivutio vya watalii ila why washuke pale? Serikali hamna majibu Mimi ninayo
 
Angalia kwenye utalii pamoja na Kikwete kujenga KIA international airport but bado watalii 80% wanakuja east Africa wanashukia Nairobi

Yaani tumeshindwa kutengeneza business plan ya jinsi gani watalii washuke moja kwa moja Tanzania?

Naomba serikali wanipe hii kazi Mimi nina uhakika ndani ya miaka 5 watalii wote watashika Hapa kwetu maana Nairobi hakuna vivutio vya watalii ila why washuke pale?

Kikwete ndiye aliyejenga KIA?
 
Ndege zikinunuliwa ili zilete watalii wewe na chadema wenzio mnapinga!

Angalia idadi wa watalii kabla ya kununua ndege na baada ya kununua ndege.
 
Hii nchi bana, sasa ndo umeandika nn apa, toka hio sgr imeanza mpaka leo phase 3 hawajui inatakiwa kwenda kuishia wap + mpaka sasa hilo shirika halikua na business planning nzuri, though its a nice project haikutakiwa kukurupa

  • Bandari ya Lamu umeiona?
  • Serikali ya kenya haimiliki ardhi ata bomba la mafuta lilikwama kwa sababu ya migogoro ya ardhi

IS THIS THE DIRECTION YOU WANT TZ IENDE?
above all the national dept its 80% kama sjakosea in respect to gdp, umelogwa?
 
Back
Top Bottom