Hii nchi ni hatari tuendako kama hivi ndivyo vigezo vya kupata ajira serikalini

Kazi sana,mimi nina vijana watatu WAMEKOSA na wote wadada,mmoja Form Four alipata Division Four(Point 27),mwingine Form Six alipata Division One (Art Subjects) na mwingine Division Two(Arts Subjects) na wote WAMEKOSA. Sasa Jeshi linataka kuajiri FAILURES tu,sijui hii ni AKILI ya wapi??
 
Subiri nafasi za JWTZ na elimu uliyonayo kama ni mchepuo wa sayansi itakua vzr zaidi
 
Back
Top Bottom