NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,514
- 17,424
Pole sana man!i know how u feel and frustrated you are!!!
Ndio maana wakahitajika wenye Elimu ndogoBora umekosa.
Hiyo kazi ya laana hiyo
Hizo za JWTZ ndo zinagombaniwa kama lulu. Ni mwendo wa rushwa na connection.Subiri nafasi za JWTZ na elimu uliyonayo kama ni mchepuo wa sayansi itakua vzr zaidi