mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Hakika nilitegemea Serikali hii ingejikita kuongeza idadi ya walimu Kwa ajili ya kufundisha Vyuo vikuu vyetu ambavyo vina uhaba Mkubwa wa walimu.Badala yake Serikali.imekuwa inawatoa hao walimu kwenye vyuo Na kuwapatia Kazi Serikalini Na kuviacha vyuo kukosa walimu Na matokeo yake in wanavyuo kukosa walimu wa kuwafundisha je tutegemee nini Kwa hao wasomi ambao taifa hili lingetegemea kuwapata.Mbona nchi Yetu INA wasomi wengi tu ingeweza kuwatumia badala ya walimu wetu? Kumwandaa mwalimu wa Chuo Kikuu ni Kazi kubwa , pamoja Na nia nzuri ya Serikali naomba ilione hili.