Hii Nayo Vipi?

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
9,178
6,305
Hii nimetumiwa na ndugu yangu aishie jimbo la Texas huko Marekani. Wadau, kwanini waislam wanaandamwa kihivi? Japo mimi ni mkristo lakini vitu vingine dhidi ya waislam kwa kweli vimekuwa too much, yaani mpaka Parking wanakatazwa?
12993_500368146717371_205697595_n.jpg
 
Wameweka detective machine kwa ajili ya waislam kuwatambua? hapa kaaazi kwelikweli.ya kaisari....
 
Lol hawa wamarekani zero brain haswa

Maana chuki zao juu ya Uislam zinapindukia mipaka sasa lolz!!!!!

Ama kuna magari maalumu kama hili la kiislamu na hili la mkristo

Chuki kitu kibaya sana
 
hawa watu sijui wana nn wanataka kufanya kama wanavyotaka utakiri hii dunia ni yao
 
Hii nimetumiwa na ndugu yangu aishie jimbo la Texas huko Marekani. Wadau, kwanini waislam wanaandamwa kihivi? Japo mimi ni mkristo lakini vitu vingine dhidi ya waislam kwa kweli vimekuwa too much, yaani mpaka Parking wanakatazwa?
View attachment 124703

Bora umelitambua hilo mkuu

Wakristo wachache wenye ufahamu juu ya uonevu uliokithiri juu ya Waislam Ulimwenguni

Yaani chuki zisizo na msingi wala sababu yenye tija
 
hawa watu sijui wana nn wanataka kufanya kama wanavyotaka utakiri hii dunia ni yao

Hapo sasa lakini Qur an ilishasema chuki zao juu ya Uislam ni kubwa na nzito kuliko waliyoyaficha ndani ya nafsi zao!!

Lol
 
Nafikiri swali la msingi ni kwann waislamu wachukiwe kiasi hicho? Chanzo chake ni nn? Na kitu gani kifanyike kurudisha kipindi ambacho tulikuwa tunapendana bila kutazama Imani zetu? Nakumbuka nilipokuwa mdogo miaka ya 80 tulikuwa tunaishi na jirani yetu mzee wa kipemba Sikuku ya eid akitukaribisha nyumbani kwake kwa maakuli na kwa vile tulikuwa watoto akitupatia pesa kwa ajili ya kufurahia Sikuku ya eid bila kujari kwamba sisi sio watoto wa kiislamu! Siku hizi ni full chuki.
 
photoshop.. hii haina uhalisia wowote.


Utabaki kuwa victimized hivyo hivyo. Jamaa alikuwa anakwenda na wenzake kusali msikitini ndipo wakakuta hili bango limebandikwa karibu na msikiti wao. Kwa mshangao akapiga picha kwani hakuamini.
 
Mmmhhh! Kama ni kweli hao wamezidi sasa. Ubaguzi wa aina yoyote ni wa kulaaniwa. Nilishangaa sana nilipoenda Saudi Arabia sikuona kanisa hata moja. Niliambiwa Wakristo wanasali sehemu flani flani kwa siri. Sijui huko Iran, Kuwait, Qatar, Bahrain, Afghanistan, Iraq nk Wakristo wana uhuru kiasi gani wa kuabudu.
 
Usishangae mkuu ubaguzi kwa ukristo hauna kificho tofauti ni kwamba labda hawaweki mabango Kama Hilo unaloliona kwenye picha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom