Hii nayo kali

sagemba

JF-Expert Member
Jan 7, 2013
467
30
Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa uchi, konda akawa anamshangaa,jamaa akamuliza konda unanishangaa nini? Konda;, Sishangai uchi wako najiuliza nauli umeweka wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom