Hii nayo inakuwaje!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii nayo inakuwaje!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bacha, Aug 24, 2010.

 1. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Habari wana JF, nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kidogo kuhusu hii hali ya wanaume walio wengi kuonyesha interest ya mapenzi kwa akina dada wenye makalio makubwa. sina hakika kama ni tamaa tu au ndo wanaume walivyo!Ukijaribu kuangalia kwa umakini unakuta karibu akina dada wengi wenye makalio makubwa wanapenda kuvaa nguo zilizobana ili wayaonyeshe vizuri maumbile yao. Like wise,wanaume pia wanaonekana kuvutiwa sana na huo uumbaji.Swali:!! Je, hayo makalio makubwa yanasaidia nini au yana umuhimu gani pindi mnapokuwa kwenye sex?naomba mnisaidie waungwana!
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,523
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Makalio makubwa hayana kitu chochote wakati wa tendo,ni suala la mtu mmoja mmoja kuvutiwa na maumbile ya namna hiyo,kuna watu ambao pia hawavutiwi na mwanamke kuwa na ****** makubwa.Ila kwa wale wenzetu ambao wana tabia za kufanya wanawake kinyume na maumbile ndio wengi wanaopenda wanawake wenye makalio makubwa.
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hamna lolote ni tamaa tu makalio makubwa hayaongezi kitu chochote
   
 4. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hapo ndo nilitaka kupata ukweli,wale wanaopenda makalio makubwa huwa wanayafanyia nini wanapokuwa kwenye mapenzi?au kule kuyaona tu inatosha?
   
 5. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Wewe ni mwanaume au mwanamke? Kama ni mwanaume, je wewe unajiskiaje uyaonapo? Na kama ni mwanamke, je ni siri ipi huwafanya kuvaa nguo zenye kubana?
   
 6. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,446
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160

  Nikusaidie/niwasaide kitu kimoja tu
  Katika suala la mahusiano kila mmoja kina kitu anachovutiwa nacho kwa mwenzake,iwe miguu minene,maji makubwa,mnywele ,sauti nzuri,urembo,ufupi,urefu,matiti,makalio,ongea ya mtu,ustarabu wa mtu,fedha za mtu nk

  hivyo ikitokea mtu akampenda mtu kwa kimojawapo si makosa wala hakuna haja ya kuhoji na mapenzi yake

  Hili suala la kile kile kilichomfanya ampendfe mtu kinasaidia nini katika sex hiyo ni siri yake,wewe mwenzako ulimpendea nini,na kinasaidia nini katika sex,sisi tunajua? hata tukijua itatusaidia nini,
   
 7. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 5,505
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  umeongea point kabisa yale mambo ya nje yanayovutia wanaume wala hayana uhusiano wa moja kwa moja na kuchinja kobe ni maumbile tu ya nje ambayo kila mtu ana chaguo lake na kitu kinachomfuraisha mie ugonjwa wangu mkuu ni kuona kitovu cha demu na hakina kazi yoyote kunako bed room chenye kazi maalum hakionekani hadharani lakini ndio kinasoko kinoma
   
 8. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sawa,lakini hebu tuchukulie kwa mfano umependa sauti ya mwanamke pindi anapoongea,kiukweli ni kwamba utavutiwa kila wakati atakapokuwa anaongea na wewe, au umependa ngozi yake ni laini,hivyo utapenda kuigusa ama la kuishika.Ndo hapo napouliza je makalio makubwa inakuwaje wajameni!
   
 9. D

  Dick JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nothing!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...