Elections 2010 Hii nayo imekaaje?

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,546
19,411
Kuna mtu kanieletea picha ifuatayo katika mojawpao ya mass mailing ninazopopokea kila siku. Sijuii picha yenyewe imapeigwa wapi ila nina uhakika kuwa ni Tanzania.

Kuna tafisir nyingi sana kuhusiana na picha hiyo:

(1) Ni tangazo la kibishara ya kuvutia wateja ambao ni wanachama wa CCM.

(2) Ni tangazo la kuhamaisha watu wajiunge na CCM.

(3) Ni rushwa ya moja kwa moja ya kutoa upendeleo kwa wanachama wa CCM na kuwabagua wale wasio kuwa wanachama wa CCM


(4) .................

wewe unasemaje?

2dha8tj.jpg
 
Tutaona mengi kipindi hiki. Yaweza kuwa pia mbinu za chama kingine kuchafua jina la CCM hayo tuwaachie wanasiasa. Wananchi tutakumbana nao Oktoba
 
nitakuwa na kadi ya kila chama. offer kama hizi zinapotokea zisinipite!! Jaamaa naona ka-BOLD kabisa hii inarusiwa kweli. Walinzi wa Amani inabidi wafute maandishi hayo
 
Tutaona mengi kipindi hiki. Yaweza kuwa pia mbinu za chama kingine kuchafua jina la CCM hayo tuwaachie wanasiasa. Wananchi tutakumbana nao Oktoba

Ingekuwa ni chama kingine kinaichafua CCM nina hakika hatua zingeshachukuliwa. Hapa kuna ukweli fulani, na takukuru hawawezi kwenda kuwauliza wafanyabiashara ni nani analipia hilo punguzo! Kingekuwa chama kingine Takukuru wangeshafuatilia maana kukiuka sheria kwa CCM si kosa!
 
Back
Top Bottom