Hii namba +500200c691

Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,955
7,101
Wakuu nisaidieni, namba hii (+500200c691) imekua ikituma empty sms kwenye simu yangu mara tatu kwa siku tatu tofauti zisizofuatana. Kwa mwenye uelewa nayo msaada tafadhali.
 
namba ya majini hiyo.
Ccm ina wataalam sana wa mambo ayo, kina long water, mzinda kaya, shehe huseni na wqarithi wake etc. Wao ni wataalam sana wa namba.
 
rejao,ritz,ff,mwita25 na yule balaa mwingine anayejiita malaria sugu wanatakuja na majibu ya hiyo nambari.
 
Kuna utaratibu sasa hivi wa Google kutuma SMS, kuna ambae amewahi kuchunguza kama zinapokelewa kwa namba gani? I sense something like that
 
kuna maba ya airtel jamaa waliniambia ole wako chadema leader, kumbe hawakujua hata kadi sina

ni wapuuzi tu
 
ukipigiwa kutoka skype ndo inakuwa hivyo,vilevile technologia sasa hivi unaweza kupiga kutoka kwenye internet,nafikiri ndo hiyo
 
kuna watu ni wapuuzi sijawahi ona. eti mtu anacomment kabisa kwamba ni majini,kweli kwenye jukwaa la tech unaleta mambo ya majini? nimesikitishwa. nways mkuu jjaribu ku angalia kama uliji subscribe kwenye hizi free sms jar applications or skype
 
Thanks mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom