Natafuta mchumba, nimechoka upweke

dedy

Member
Feb 20, 2018
25
57
Habari zanu wapendwa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni binti mwenye 28 yrs, elimu yangu ni Diploma, ni Mjasiliamali, naishi mkoa wa Mtwara, mkristo, Situmii kilevi, sina mtoto. Uzito wangu ni kg60

Vigezo vya ninayemuhitaji:

> Awe mkristo

> Elimu yake akinizidi mimi hapo itakuwa safi.

> Awe ameajiriwa au kujiajiri.

> Kama anakunywa basi sio mlevi.

> Asivute sigara

> Awe na mapenzi ya dhati .

> Kabila lolote

Mengine tutaeleweshana inbox .

Karibu.
 
2018 hadi leo hujapata? JF yote!! Hata huko kitaani kwako?

Hivi kwani wanaume ndiyo wamekuwa adimu hivyo au shosti uko too selective? Being too selective itakucost, utakuja kuwapata na wale fisi wenye ngozi za kondoo...shauri yako
 
Kwa hiyo kuhusu miaka bado unataka mwenye umri huohuo au?lakini pia ukifikia kwamba huko mtaani hakuna anayekutongoza ujue uko serious sana kwa muonekano.vipi kuhusu chura bado ni flat screen ile ile😏
 
wahenga wanasema: "ukali wa jembe nguvu zako tu", wakaenda mbali zaidi wakasema kuwa "ukitaka kumtafuta nyoka anza kwanza kumlika miguuni pako". Lakini pia kuna usemi unasema kwamba "ukiona mateso yameongezeka jua neema imekaribia" so hutakiwi kukata tamaa Mkuu....hii ndo siri ya mafanikio pekee kwenye kila kitu ktk dunia hii...

Keep the candle burning Mkuu...

"God+Time+Life"
 
2018 hadi leo hujapata? JF yote!! Hata huko kitaani kwako?

Hivi kwani wanaume ndiyo wamekuwa adimu hivyo au shosti uko too selective? Being too selective itakucost, utakuja kuwapata na wale fisi wenye ngozi za kondoo...shauri yako
Yani huyo hana mtoto na kanizidi elimu na umri nina 25natembea na mke wa mtu ambaye ni mwenyeji wa hukohuko ana watoto wawili.Alishawahi kulazwa hosptali kwaajili yang jinsi anavonipenda lakini simchuni kila nachomwambia ananiskiliza ili kutunza ndoa yake.mimi mshahara wang70000 kwa mwezi sijisifu.Umegundua nini hapo Depal
 
Hebu nifafanulie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom