Hii msitu ya wanaume......... ni sunna au ni uchafu tuu?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Kwa watu wenye kufuata misimamo fulani ya kiitikadi kufuga midevu ni swala la Sunnha. Lakini mijanaume mingi hadi sehemu nyingine nywele huwa hazinyolewi hadi wapigizane mikelele na wapenzi wao.

Sasa na hizi nywele za maeneo mengine nazo kufuga ni sunnha au ni uchafu wa wanaume? Jamaa wengine hawapitishi wembe mpaka wajue wanakwenda kukutana na"girlfriend" mpya.

Wanawake tupeni uzowefu wenu hii staili ya "urastafariani" hadi kwenye maeneo nyeti haiwakeri?
 
Unaongelea ndefu au nini?

Kama ndefu wanapenda sana dada zetu..kwa hiyo ni mtaji
 
Kwa watu wenye kufuata misimamo fulani ya kiitikadi kufuga midevu ni swala la Sunnha. Lakini mijanaume mingi hadi sehemu nyingine nywele huwa hazinyolewi hadi wapigizane mikelele na wapenzi wao.

Sasa na hizi nywele za maeneo mengine nazo kufuga ni sunnha au ni uchafu wa wanaume? Jamaa wengine hawapitishi wembe mpaka wajue wanakwenda kukutana na"girlfriend" mpya.

Wanawake tupeni uzowefu wenu hii staili ya "urastafariani" hadi kwenye maeneo nyeti haiwakeri?

nonsense,hopelesss.. upuuziiii
 
Back
Top Bottom