Hii Mpya;muhimu Soma

RECALL FROM DISTRIBUTION: LACTOGEN 1 INFANT FORMULA BATCH CODE 73100179 L1 MANUFACTURED IN SOUTH AFRICA

Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) would like to bring to the attention of the general public that a milk product namely LACTOGEN 1 with batch code 73100179 L1 which was manufactured and packed in 400g tins in South Africa on the 6th November 2007 is unfit for human consumption and should be withdrawn from circulation.

This recall echoes that of Nestle South Africa which discovered the product to contain excessive levels of iron, copper and zinc a result of which may be injurious to the health of the intended customer. While Nestle South Africa claims that the product was distributed only in South Africa, Botswana, and Zambia, it may have got into Tanzania market through informal routes.

TFDA therefore wishes to alert the general public of the product and call upon stakeholders to handover such food product to the nearest local council health offices. Wholesalers, retailers and other food distributors with stocks of such food product should stop selling them and return the same to their agents who in turn should inform TFDA for further action. You may also visit our offices at Mabibo-External, Ubungo or contact us through the following address;

The Director General,

Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA),

Off Mandela Road,

Mabibo-External,

P. O. Box 77150, Dar Es Salaam

Phone: +255 22 2450512 / 2450751 / 2452108

Fax: + 255 222 450793

Email: info@tfda.or.tz

Website: www.tfda.or.tz
 
FORMULA MILK.
Imesikika na kutekelezwa na wauza mudauka wote wa jiji la Dar es salaam kwamba maziwa hayo yamepigwa marufuku kuuzwa kwenye maduka...

Inawezekana - na mimi nadhani - ni udaku.

i wish ingekua Udaku kama usemavyo.
Nenda dukani sasa ihi ilie kopo la S26 namab mbili lilikua alfu 12 sasa ni alfu 16

Unaona kwa nini sikuchelewa kusema huu ni udaku?

Kumbe wamekupandishia bei kikatili katili wewe ukajaleta malalamiko yako kivingine kabisa!

Sio kwamba sipendi kusikia vituko vya Serikali vinaanikwa anikwa. Ila tiu kuna wakati stori ukiiangalia tu unaiona imepinda: "imeelezwa (KUTOKA HUKO JUU ORDER ILIPO TOKA)" Au "Imesikika na kutekelezwa..."

Imesikika taarifa ya kutoa order au imesikika kwamba inatekelezwa? Kusikika inatekelezwa ina maana wewe hujashuhudia. Hujaenda dukani ukakataliwa, ila wamekuletea ulanguzi wa bei. Pole ndugu yangu. Lianike hapa hilo duka ndugu, usiwastahi wala nini.
 
Ndugu yangu mimi nadhani wewe ndio mbishi wa kuelewa, hebu acha kupinga pinga bila ya kuchunguza, nenda madukani sasa hivi na ndio utajua ukweli, sisi tuna watoto na tumesha kumbana na hayo mambo ndio maana tunasema, maziwa yote yenye nembo ya mtoto hayauzwi sasa hivi, na hata ya kiuzwa wanauza kwa kificho, na hawayaweki kwenye frem kama kawaida, ukitaka wanakuuzia tena kwa kificho na bei juu.

Nenda tu dukani na uliza unataka S26 then usikie utaambiwa nini then uje hapa utueleze nini umegundua. Tembelea maduka 5 tu then njoo utupe habari.
 
Inaelekea wanawapandishia bei kinamna. Inaelekea re-call ni kwa lactogen, capitalists wetu wakaona ndiyo nafasi ya kuwakamua wateja.
 
All in all maziwa hayo kusema kweli siyo salama kwa watoto maana watoto hupata many complications i.e hata kufunga choo ... nadhani first stages za mtoto anahitaji maziwa ya mama ... incase one is employed atleast awe anapewa nafasi kwenda kunyonyesha mtoto ... this is hard i know lakini its even dangerous na housegirl asiyejuwa kupima hayo maziwa yanavyohitajika ... kuna pump pia ya kukamuua maziwa ya mama .. meanwhile mama anaweza akakamua maziwa yake ... mtoto akayatumia morning hours halafu lunch time kina mama waruhusiwe kwenda kunyonyesha

Maziwa ya ngombe nasikia mtoto anakuwa na akili kama ya ngombe kamili !!!!!!
 
Maziwa ya ngombe nasikia mtoto anakuwa na akili kama ya ngombe kamili !!!!!!

kwi kwi kwi, there are myths lakini hii ni kali mno, he he heeee, ndio maana ndama ana akili kama ng'ombe kamili! I love JF haaaa.
 
All in all maziwa hayo kusema kweli siyo salama kwa watoto maana watoto hupata many complications i.e hata kufunga choo ... nadhani first stages za mtoto anahitaji maziwa ya mama ...

Je akina mama wasio na uwezo wa kunyonyesha kutokana na kukosa maziwa wawape nini watoto wao? Je na wale wanaozaliwa na kutupwa jalalani wakiokotwa wapewe maji? Kuna akina mama wanapenda kunyonyesha watoto wao lakini wanashindwa kutokana na kukosa maziwa watoto wao wanapozaliwa.
 
sijasema moja kwa moja kwamba maziwa ya kopo ni mabaya ... ila sincerely if it can be avoided considering all circumstances being equal yani mama ana maziwa ya kutosha n.k ...

Maziwa yanakuwa poisonous au kumdhuru mtoto ukiwa huna mtu madhubuti wa kukuangalizia utayarishaji wa maziwa ya unga ... causing especially stomach complications kwa mtoto ... mathalan instead of vijiko vitatu ... mfanyakazi atafanya less or zaidi ... because yuko pekeyake and ana uhuru wa kufanya either haki au batili ... whatever

For those unfortunate children ... sawa wapewe maziwa ya unga ... ila uangalizi uwepo la sivyo ... a mother will end up a regular visitor to the hospital
 
Unajua walitoa namba za hayo maziwa ya Lactogen lakini kama mjuavyo sisi wabongo iwa hatufatilii hata expire date hapo hawa TFDA walitoa batch no. kuwa maziwa ya LActogen 1 toka SA ndo yalikuwa hayana viwango.
Walitoa tangazo hilo mara moja tu na uhakika wazazi wengi hawajapata taarifa hizi kwani tangazo lilisha toweka na watu wana piga biashara kama kawaida sokoni.
Tatizo hapa ni ufatiliaji tu ndo tatizo letu kubwa wa TZ kuanzia Rais mpaka kwa Mjumbe wa nyumba kumi kumi.Ufwatiliaji ni sifuli hili lipo wazi hata Rais akisema kitu basi hafwatilii tena.
 
formular milk kwa watoto si nzuri, na ikiwezekana ni vizuri kuiepuka.
isitoshe wataalamu wanasema kunyonyesha mtoto maziwa ya mama yanamsaidia katika immune system na pia katika inteligence system yake.

panapokuwa hapana budi, mtoto na apewe maziwa ya kopo lakini expiring date, na tuwe wepesi wa kusaka taarifa mbali mbali zitakazo mhusu mtoto.

idara husika tunatarajia ilitowa matangazo kadhaa, kupitia vyombo tofauti ili kila mama mwenye mtoto anayetumia maziwa hayo apate ujumbe
 
Ishu hii ni kweli na uchunguzi umefanywa kwa wauzaji.Bei imepanda kwa wastani wa elfu nne kwa kopo sasa.
Tatizo ni kuwa viongiozi wetu wamezoea kutoa maamuzi ya kisiasa kwenye kila ishu hata pale panapohitaji utafiti na utaalumu.Ni kweli "thinkers are rare"
 
Nashuluru kwa Mchango huu.

Unajua kuna baadhi ya watu hapa wanadhani kila kitu kinacho letwa hapa ni udaku,nashanga wapi imeenda ile busara yetu ya kuchukulia kila jambo kwa uzito wake.
Jana niliwaambia kabla ya kuchangia take time to go to the shops uone mwenye then uje na mchango wako hapa,tujue uko upande wako mambo ya koje.Ikiwezekana sisi wote ni wazazi tusaidiane kupunguza cost tuje huko kufata kwa bei nafuu.

sasa sio mnaleta blah blah hapa kujaza posts zenu.
All in all ukweli ndio huu tuangalie jinsi gani tunaweza ku-influence change au walau hili swala litapatiwa ufumbuzi kwa kuwapa nafasi wakubwa huko juu kufahamu juu ya upandishwaji huu wa kiolela wa bei
 
Jaribu GAME, japo ni expensive kuliko kwenye maduka ya kawaida, but I wonder kama yatakuwepo bado kutokana na demand kuwa kubwa.

Tell you what mama yangu,
Mimi na my wife wangu tumekua tukinunu hayo maziwa hapo unaposema THE GAME toka mtoto wetua alipozaliwa.
Ila kwa kukufahamisha tu hapo mahara toka au kwa karibu miezi mitano sasa hizo S26 hazijaja hapo yako yale mingine ya KISAUZI AFRIKA na bei yake sio masihara
 
formular milk kwa watoto si nzuri, na ikiwezekana ni vizuri kuiepuka.
isitoshe wataalamu wanasema kunyonyesha mtoto maziwa ya mama yanamsaidia katika immune system na pia katika inteligence system yake.

panapokuwa hapana budi, mtoto na apewe maziwa ya kopo lakini expiring date, na tuwe wepesi wa kusaka taarifa mbali mbali zitakazo mhusu mtoto.

idara husika tunatarajia ilitowa matangazo kadhaa, kupitia vyombo tofauti ili kila mama mwenye mtoto anayetumia maziwa hayo apate ujumbe

swala zuri umelilite.
Lakini hivi kwa msaada wakohivi unadhani ni wazazi wangapi wana access to internet so that waende huko kwenye website ya hao jamaa wa viwango?

au wangapi wanasoma magazeti ili wasome hayo matangazo yanayo kaa siku mbili tu kwenye magazeti?

Hivi UKIMWI mbona wantangaza kila siku?afya za watoto wa inchi hii mpaka uwende kwenye Internet au ukanunue gazeti.

Hayo ni mawazo mgando (plz no disrespect) but we need to kemea hizi tabia za kudharau afya za watoto na kuwekea kipaumbele mambo yasio na maana tuwache
 
Ndugu yangu mimi nadhani wewe ndio mbishi wa kuelewa, hebu acha kupinga pinga bila ya kuchunguza, nenda madukani sasa hivi na ndio utajua ukweli, sisi tuna watoto na tumesha kumbana na hayo mambo ndio maana tunasema, maziwa yote yenye nembo ya mtoto hayauzwi sasa hivi, na hata ya kiuzwa wanauza kwa kificho, na hawayaweki kwenye frem kama kawaida, ukitaka wanakuuzia tena kwa kificho na bei juu.
Tembelea maduka 5 tu then njoo utupe habari.

Domo Kaya,

Nilikuwa sahihi kabisa, na sio mbishi, ku guess, kwa kuiangalia story tu, kwamba ulikuwa ni udaku.

Ndugu yangu, nilichokiswalisha ni hiki:

imeelezwa (KUTOKA HUKO JUU ORDER ILIPO TOKA) ya kwamba hii ni kutokana na WAZAZI WENGI KWA SASA HAWATAKI KUNYONYESHA MAZIWA YAO (BREAST FEEDING) waki tegemea maziwa hayo mengine yaani Formula.

Na ukweli wenyewe, hapa chini, unaonyesha kwamba kama nilikuwa mbishi basi ilikuwa vizuri, maana tungepotoshwa:

Maziwa ya Lactogen yapigwa marufuku

IPP Media
2008-05-15 09:05:55
Na Jackson Kalindimya

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya maziwa ya watoto aina la Lactogen 1 toleo namba 73100179 L1.

Maziwa hayo hutengenezwa na kampuni ya Nestle ya nchini Afrika Kusini.

Hatua ya kuyapiga maziwa hayo, imetokatana na kugundulika kuwa, yana madhara kiafya kwa watoto.

Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Bi. Margareth Sigonda aliyazungumza hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Bi. Sigonda alisema maziwa hayo yaliyotengenezwa Novemba 6, mwaka jana na yamegundulika kuwa na viwango vikubwa vya madini ya chuma, shaba na zinki ambayo yanaweza kusababisha madhara ya kiafya kwa walaji ambao ni watoto.

Alisema TFDA ilifanya ukaguzi katika maduka mbalimbali hapa nchini na kufanikiwa kukamata makopo 81 ya maziwa hayo ambayo yaliingizwa nchini kwa njia zisizo halali.

``Nawakumbusha wafanyabiashara wote wa chakula, kuwa sio maziwa yote ya Lactogen yamepigwa marufuku, ni yale tu yaliyofafanuliwa kukatazwa na hivyo walio na maziwa hayo yaliyopigwa marufuku, watoe taarifa kwenye Ofisi ya Afya ya Wilaya au mkoa, Ofisi za Kanda za TFDA zilizopo Mwanza, Arusha, Mbeya na Ofisi za TFDA makao makuu jijini Dar es Salaam,`` alisema.

Aliwaomba wananchi wote kutoa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa wale wote wanaokiuka masharti ya uuzaji na uingizaji wa maziwa hatari ya watoto wanachukuliwa hatua mara moja.
_____________________________

Sasa Domo Kaya umeona udaku, ubishi na ukweli?

Kwa nini ukatafute taratibu za nchi kwenye duka la Mchaga? Wafanya biashara wa Kichaga (na wamiliki wengine wote wa maduka nchini) wengi wameelimika, wanajua na kufuata taratibu na sheria za nchi, lakini pale dukani ukienda utakuta kitoto cha Kichaga kimewekwa pale, na japo kuwa kinaweza kukwambia kutoka kichwani lolote kuhusu inventory ya duka na hakihitaji cash register wala daftari la mahesabu, most likely hakijui chochote kuhusu regulations za nchi kuhusu hiyo inventory.

Ni vyema, Domo Kaya, tukatafuta vyanzo vyenyewe vya habari, na sio kwa vijana wa madukani japo wana gift ya kujua mali bila daftari.

Kwa sababu mission moja ya JF ni kutoboa usiri wa Sirikali huwa nakuwa super careful kabla ya kuita story ya mtu udaku. Lakini kuna wakati udaku haujifichi, na haupeteshwi Domo Kaya.
 
Some body did say some thing abt MAWAZO MGANDO.
Unajua kila kitu hapa sio siasa,kwanini usiende dukani na kujua ukweli kwwenye hili!?
Anyways inawezekana kabisa napozeza muda na nguvu kwa kubishana na mtu ambeye labda hana hata mtoto wa kusingiziwa.
kwanini osome details za kuandikiwa tu hapa ukitaka jua ukweli nenda huko kwenye maduka makubwa wanyo weka stock zao vizuri arafu njoo na majibu ndio tujue upo udaku na ipi fact.
usisome na ku-copy na kupest details za wengine ambao wanaandika mambo kwa maslai yao
 
FORMULA MILK.
Imesikika na kutekelezwa na wauza mudauka wote wa jiji la Dar es salaam kwamba maziwa hayo yamepigwa marufuku kuuzwa kwenye maduka,sababu kubwa ikiwa imeelezwa (KUTOKA HUKO JUU ORDER ILIPO TOKA) ya kwamba hii ni kutokana na WAZAZI WENGI KWA SASA HAWATAKI KUNYONYESHA MAZIWA YAO (BREAST FEEDING) waki tegemea maziwa hayo mengine yaani Formula.

Sasa maswala ni kwamba moja,Vipi kwa wale ambao kunatokana na kukutwa na HIV wametakiwa na Madaktali wao wasinyonyeshe watoto ila wawape hizo formula milk?

Pili,nini kitatokea na vile vichanga vinavyopoteza wazazi wao kwenye kuzaliwa?

Tatu,kwa wazazi ambao tayari wamewwazoesha watoto wao hayo maziwa ya formula,hii ni kutokana na muda mwingi wakunyoshesha hawana kwakuwa labda wanakua wapo makazini au sehemu nyingine za kujiongezea kipata baada ya maisha kuwa magumu kipindi cha sasa unlike zamani where woman sat at home to rise children.

Jamani hii tanzania yetu inaenda wapi?wengine wanapiga hatua mbele sie tunaenda kinyume nyume.Isiwe kwamba kuna mtu kakosa % yake kwenye containers za maziwa hayo huko bandalini?
Au je maamuzi hayo yana weza kuwa backed na sababu za KIDAKITARI kama hivyo ndivyo basi JF DOCTOR embu nisaidie hapa

Very useful information
..BUT IS THIS POLITICS??? pls Mods ipelekwe kuleee kwa madaktari au hoja mchanganyiko
 
Well,wakuu nimerudi na facts zangu.
Ingawa wengine walidhani nimeleta habari z a kidaku daku bila ya kufanya uchunguzi,sasa hii nimethibitishiwa na kuthibitisha mwenyewe i went to The GAME store this after noon kununu groceries what i found nikile ambacho wengi hapa walifikiri ni UDAKU.
Maziwa ya watoto FORMULA ya aina ya S 26 yalikuwepo ila yakiwa yamezibwa na vijikaratasi kwenye ile picha ya mtoto kuonyesha ile LOGO na yale maziwa na kuna kasanamu hapo cha mtoto ndcho hasa kilikua kimezibwa na hicho kijikaratasi .
Muhudumu wa pale anilimwuliza kwanini haya maziwa yamezibwa hapa akanijibu kwamba serikali imepiga marufuku maziwa yote ya watoto yenye PICHA YA MTOTO HAPO!
Nikamwulize je sio kwamba ni ya LACTOGEN TU?akaniaambia.....Ni maziwa yote yenye hicho kikatuni hapo,na kwamba WAO GAME STORE NI MARA YA MWISHO WANA LETA HAYO MAZIWA HAPA INCHINI na ndio maana yameshushwa bei.
Sasa kwa wale wazazi kama mimi tafadhalini nendeni pale mlimani city mnunue stock ya hayo maziwa kwa ajiri ya vichanga vyenu mpaka hapo baadae hari itakapukua si tata kama sasa ambapo hatujui hicho kikatuni hapo kwenye hayao maziwa kina maana gani hadi wakubwa waone haya fai.
Ni hayao na napenda kuwakirisha.
 
Back
Top Bottom