Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 140
FORMULA MILK.
Imesikika na kutekelezwa na wauza mudauka wote wa jiji la Dar es salaam kwamba maziwa hayo yamepigwa marufuku kuuzwa kwenye maduka,sababu kubwa ikiwa imeelezwa (KUTOKA HUKO JUU ORDER ILIPO TOKA) ya kwamba hii ni kutokana na WAZAZI WENGI KWA SASA HAWATAKI KUNYONYESHA MAZIWA YAO (BREAST FEEDING) waki tegemea maziwa hayo mengine yaani Formula.
Sasa maswala ni kwamba moja,Vipi kwa wale ambao kunatokana na kukutwa na HIV wametakiwa na Madaktali wao wasinyonyeshe watoto ila wawape hizo formula milk?
Pili,nini kitatokea na vile vichanga vinavyopoteza wazazi wao kwenye kuzaliwa?
Tatu,kwa wazazi ambao tayari wamewwazoesha watoto wao hayo maziwa ya formula,hii ni kutokana na muda mwingi wakunyoshesha hawana kwakuwa labda wanakua wapo makazini au sehemu nyingine za kujiongezea kipata baada ya maisha kuwa magumu kipindi cha sasa unlike zamani where woman sat at home to rise children.
Jamani hii tanzania yetu inaenda wapi?wengine wanapiga hatua mbele sie tunaenda kinyume nyume.Isiwe kwamba kuna mtu kakosa % yake kwenye containers za maziwa hayo huko bandalini?
Au je maamuzi hayo yana weza kuwa backed na sababu za KIDAKITARI kama hivyo ndivyo basi JF DOCTOR embu nisaidie hapa