Habari za leo humu!
Leo kwa kifupi sana naomba niwadokeze miti ambayo ni kipenzi cha wachawi kama kituo, na miti hii hupendwa sana na majini na walozi,Hii ni kutokana na kwamba miti hii inauwezo mkubwa wa kudumu na huwapunguzia kero kuzindika kila mda au kuhama hama, Hii miti ni kama viwanja vyao vya makutano na matamasha, hii ni kama NATIONAL STADIUM- huwezi jenga kila mwaka kuna gharama zake, kila miti inamirikiwa na koo zake za kichawi, hii ni sawa na kumiriki kitalu, kuwahamisha wachawi yahitaji ufundi, ukikurupuka tu huwezi ondoa hiyo miti kizembe- utapata shida, ama kama utafanikiwa kujenga nyumba eneo hilo mauzauza lazima yakukute, ni lazima uwahamishe hao wachawi ili ujenge na uishi kwa amani;
Kwa wakaazi wa Pwani hasa wapangua nazi na wakata miti hii watanielewa haraka kwakuwa watakuwa wamewahi kutana na mauzauza hayo katika ukataji miti hii,Ipo miti mingine mingi ila hii mitano ni maarufu sana; (a). MINAZI (b).MIBUYU (c) MIKARATUSI (d) MIEMBE (e) MICHIKICHI
1. Miti hii ukiwa mzembe mzembe hukati-unaweza kwea mnazi vizuri hadi juu ukakutana na bonge la joka ukazani ni joka kweli- ndo hapo unasikiaga watu hudondoka toka juu ya mnazi chanzo chake ni hiki,
2. Ama unaweza ukawa upo juu mara unaona mwanamke mreembo kabisa mwenye macho ya kumetameta hapo kama ni mzembe endapo ukawa unakata mti lazima ujikate au udondoke kwa mshituko,
3. wakwea minazi au wakata miti hii huwakosi makovu,
4. miti hiyo pia maranyingi huwa na mauzauza unaweza panda juu halafu ukaanza kuona mti unatembea au unaswing'',
5. miti hii huko vijijini hakuna umeme ila utashangaa kuona kuna taa kali huwaka kutoka kwenye miti hii siku za vikao vyao.
Waulizeni wajenga barabara watawathibitishia kwanini mibuyu mingi huikwepa.AHSANTE