Hii Misimba na Miyanga, lini itaanza kujitegemea?

JembeNaNyundo

JF-Expert Member
Dec 9, 2016
532
646
Ninashangaa sana hii mitimu. Kila siku inamtegemea ama Dewji au Manji au tajiri fulani. Hivi lini mtajitegemea nyie matimu? Timu zina umri wa Chelsea, lakini mpaka sasa tegemezi.
 
Back
Top Bottom