Hii misafara ya kukagua mito na maziwa ni aina nyingine ya Ufisadi!

Ameanza Juma Awesu......waziri

Leo January Makamba........waziri

Atafuata Suleiman Jafo.......waziri

Hizi gharama za ukaguzi unaweza kujenga bwawa jipya

Maendeleo hayana vyama!
Hivi Raisi hawezi mara moja kupiga marufuku huu usanii unaofanywa na hawa mawaziri? Kwanza walikuwa wapi siku zote? Kimsingi hii si kazi yao ya kila siku . Ni Kazi ya watu wa mabonde ya maji pamoja na watu wa maliasili wa halmashauri za wilaya na manispaa. Kama vyanzo vyamaji vilishaharibiwa na mifugo na riparian land ilishaharibiwa kwa kilimo kisichozingatia utunzaji wa mazingira, hata mkizunguka na boening haisaidii. Bahati nzuri kila eneo la nchi hii limegawanywa kiutawala vizuri sana , kuna kitongoji, kijiji, kata, tarafa, Wilaya na Mkoa. Kweli kote huko pamekosekana utaratibu unaofaa kuhifadhi mito, chemchem, maziwa, hadi mawaziri wazunguke na helkopta angani?
 
tutakodi roketi kwenda kukagua mawingu tuone kwanini mvua hainyeshi.

Mtaalam wa mvua za mabomu toka thailand kesha staafu.
 
Back
Top Bottom