Hii miguu ya mtoto Tunda noma kweli!! kama ya Usain Bolt

Status
Not open for further replies.

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
WhatsApp Image 2016-12-06 at 6.20.09 PM.jpeg
WhatsApp Image 2016-12-06 at 6.20.10 PM.jpeg
 
Miye huwa najiulizaga; Ni yupi alitakiwa ayavae hayo mavazi hapo? Ni huyo me au huyo ke? Jamani, nilivyo na wivu hivi!! Mwajua huwa natamani mkewangu yaani mai waifu akienda clinic sitaki kumwona kidume kikiingia humo ndani ya chumba?? Natamani nimtoboa macho yaliyoona paja la maiwaifu wangu!!
Halafu litoto linasanua vitu vyote hapo kwenye picha. Ptyuuuuu. Samahanini may be am too old for these photos
 
aisee ila kamera zinatudanganyaga sana daaaaah.. mtu anaweza akajikataa hapo akasema sio yeye..kumbe waala
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom