Hii mifuko ya plastiki imekatazwa? au wamesahau kutoa ufafanuzi kuwa ni mifuko ya plastiki

Condom sio plastic ni rubber zinatengenezwa kwa kutumia polyurethane au polyisoprene.
Huwa zina decompose haraka
Screenshot_2019-05-29-09-18-32-1.jpeg
 
Hivi Mpira na Plastiki ni sawa eeeh!?
Hawa ndio wasomi tunaowategemea katika jamii yetu watuondoe ujinga sisi Mangumbaru
 
sikia kwa makini wamekataza mifuko ya plastiki,lakini hawajakataza vifungashio vya plastiki,hivyo wametenga maeneo ambayo kila mwenye mabaki ya vifungashio au mifuko ya plastiki,wapeleke hapo kwa ajili ya kuteketezwa
SOMA KANUNI ZAKE KWANZA
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom