Hii Michezo Mingine Hii. Khaaaa



Huyu si mwanamme wa Dar kweli? Mpelekeeni Mh. Makonda jina lake mara moja. Hawa jamaa siku hizi wamechizika mno, siku za nyuma walikuwa wanatumia mitandao kujiuza ila siku hizi wanacheza na ng'ombe kama hapo pichani ama utakuta mtu anakalia mti makusudi ukimpa kiti akalie anakuambia ana balance mgongo, kumbe holaaa. Nyie wanaume wa Dar mnachosha jamani.
 
Huyo jamaa anajipenda kweli? au huyo ng'ombe ni sanamu

M a v i yanaweza kusukumwa hadi kwenye koromeo
 
Back
Top Bottom