sio enzi hizo hata leo mm hapa mkuyati umeshashtuka na kuchaji kwani hata sisi wazee hiyo kitu tunanyonya.
na Bungeni wameshalaani kina baba wanaonyonya matiti/maziwa ya kina mama badala ya watoto
Na hivi Mama akishamaliza kuzaa unafikiri hapendi anyonywe? waulize kuna kamsisimuko gani hapo.
Ukila chakula ya mwanangu nakutema.Mimi mpaka sasa napenda sana hii kitu!!!!!!
Ukila chakula ya mwanangu nakutema.
Mimi mpaka sasa napenda sana hii kitu!!!!!!