Hii menu tulio wengi tuliililia sana.

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,243
... madela.jpg
 
Hahahahaaaaa naipenda hio dogo aliyoipoint.........imekaa kama ya Mpwa wangu wa ukweli Paloma hio ya mwisho kama ya Aine
 
Last edited by a moderator:
sio enzi hizo hata leo mm hapa mkuyati umeshashtuka na kuchaji kwani hata sisi wazee hiyo kitu tunanyonya.
na Bungeni wameshalaani kina baba wanaonyonya matiti/maziwa ya kina mama badala ya watoto
Na hivi Mama akishamaliza kuzaa unafikiri hapendi anyonywe? waulize kuna kamsisimuko gani hapo.
 
ha!ha! ilo nalo neno.
 
ki ukweli hii kitu inakubalika sana hata ukubwani balaaaaaaa!!!
 
Mungu mkubwa! katoto kameshiba kweli Afya nzuri yaonekana Kanyonya kwa mamake, kwa Shangazi,kwa jirani, kwa mama Anna, kwa bi mariyamu na kwa Shogake dada Zainabu. "heshima kwa akina mama na kuwaombea umri mrefu"
 
Nakumbuka hadi nil nilitishiwa jongoo ili niiache hii menu heshima kwa wamama wote.
 
Back
Top Bottom