Hii mekaaje? Neno ILLUMINATI ukiliandika kinyume (ITANIMULLI) na kuongezea .com utapelekwa kwenye website ya nsa.gov

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
16,133
33,450
Waungwana nimejaribu kufanya hivyo nimejikuta natumbukia kwenye website ya nsa.go.

Je hiyo kitaalamu imekaaje? Kuna uhusiano wowote baina ya hilo neno illuminati na hao jamaa wa national security ag?

Screenshot_20210706-215304.png
 
Kama hivi
itanimulli.com ukigoogle ndo inakuja hivyo
 
Inamaanisha wewe Ni mgunduzi umetubeba watanzania wenzako kwa kutupa maono asee hujasoma Sana lakini upo km una ma degree mengi
Mkuu acha maskhara 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu jaribu pia na itanimulli.us itakupeleka website ya Ikulu ya Marekani.
Huku itanimulli.com inakupeleka kwa NSA.

Huo ni mchezo tu wa wahuni kwenye IT. Mijamaa ya kawaida tu kama mimi na wewe imenunua domain hizo na kuzielekeza kwenye website za taasisi hizo za serikali.

Yaani hata mimi na wewe tunaweza kununua domain gamboshi.com na gamboshi.tz tukazielekeza website ya TISS na ya ikulu ya Tanzania.

Msome jamaa mmoja alivyopata majibu hayo
"
Why does the CIA own National Security Agency domian, which is a reverse of Illuminati?

Azhar Choudhari, studied at Burhani College
Answered April 10, 2015

I ran across a little snippet that I thought was interesting. It seems that when you visit Itanimulli.us (Illuminati spelled backwards) it takes you to the White Houses's website: WhiteHouse.gov. Also when you visit Itanimulli.com, it takes you to the National Security Agency's website NSA.gov.

Some people want to make a conspiracy out of this, and want to know why the White House and the NSA would want an Illuminati domain to point back to their respective sites. This answer took me 1 minute to solve. The answer is that it's not their domain.

I went to GoDaddy.com and did a Who-Is search for the domain's to find out who the owners are. They are owned by a two different dudes. I normally would not post someone's name and address, but in this case it is public information and is directly relevant. This is all public information that is easily accessible to anyone wanting to know.

Itanimulli.us is owned by:
Scott Lamb
25 Venita Drive
Athens, Georgia 30606
United States
GoDaddy search results: Link
Itanimulli.com is owned by:
John Fenley
1985N 360E
Provo, Utah 84604-1803
United States

GoDaddy search results: Link
All that is going on here is this: These two guys bought the addresses, and then did a redirect for each domain. They simply made Itanimulli.us forward visitors to WhiteHouse.gov, and Itanimulli.com forward visitors to NSA.gov.
Mystery solved. Nothing nefarious here. Just practical jokers creating an internet myth.
Source(s):
http://www.projectmaji.com/forum/in...tanimullius-and-itanimullicom-mystery-solved/"
 
Back
Top Bottom