Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,900
anaeijua aniambie😅😅😅
mapishi yake yakoje 😋😋
mapishi yake yakoje 😋😋
Mirungi au miraa au khats. Inatumiwa kwa kutafuna. Japo sijui kama umeuliza ukiwa hujui.
Ina steam flani amazing na tunyege flani tuzuri zuri. Afu for some reason inakusababisha useme uongo sana na fake promises sijui ni huto tunyege.
Ila ilinitoboa meno nina mashimo kama barabara ya Keko.