Hii mboga gani jamani?

Bingwa Mara 4

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,345
2,000
anaeijua aniambieπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

mapishi yake yakoje πŸ˜‹πŸ˜‹
FB_IMG_1632406391336.jpg
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
17,923
2,000
Ina steam flani amazing na tunyege flani tuzuri zuri. Afu for some reason inakusababisha useme uongo sana na fake promises sijui ni huto tunyege.

Ila ilinitoboa meno nina mashimo kama barabara ya Keko.


Yaani unajenga magorofa kama yote
Na kwa kutoa ahadi sasa
Mtu anakuuliza million unamuambia njoo kesho
Halafu aje mchana unavypmtoa baru
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom