Hii mbaya sana walimu kuwageuza watoto wakike kuwa wajakazi wa nyumba zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii mbaya sana walimu kuwageuza watoto wakike kuwa wajakazi wa nyumba zao

Discussion in 'Jamii Photos' started by Toneradio, Jul 27, 2011.

 1. T

  Toneradio Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 2. b

  bia JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we 2ache walimu mana hujui na usilolijua ni sawa na ucku wa gza ndugu,mwalimu tz hathaminiwi ilhal ndo anaproduce evry one of us,ndo mana wantengeneza mafisadi 2pu
   
 3. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You might have not been to schoo that is why you insulting teachers.Hapo ulipo umevaa vizuri kwa sababu ya kazi nzuri ya walimu.Kama walimu wakiamua kukiacha hicho kitoto chako hata kuosha vyombo na kudeki kisingeweza na ungeinama mwenyewe.Nakuomba ufunge hilo kopo lako kuongelea Walimu.Sisi tupo mjini kwa sababu we were trained and tought by teachers.Kama umeona kuna mistreatment kwa mwanao ni upungufu wa mtu na siyo walimu wanaroho mbaya.
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  unataka kuwaziba watu midomo juu ya uovu wa walimu?!
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,052
  Likes Received: 3,083
  Trophy Points: 280
  Mleta mada una kasoro ya overgeneralization,kitu ambacho hata kama umesoma ukitumia terms za hvyo huwa zinadevalue thinking capacity yako...jifunze kuwa impersonal and don't be emotional itakusaidia baadaye!

  Inanifanya niwakumbuke sana waalimu wangu,walinipenda,nikawapenda na ndo maana niko hapa leo,hata kama ni kwa adhabu naamini was for my future and here i am i thank them wherever they are,msije kupandikiza mbegu za chuki kwa watoto wenu dhidi ya waalimu,fikiri you were a teacher,would you...?
   
Loading...