Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 4,946
- 12,515
Vipi kuhusu Volkswagen Touareg V10Mkuu hii gari ile ya mwaka 2018 ndio ilikuwa na nguvu sana yaani hata Huracan haiikamati
Ina nguvu sana nilikanyaga mafuta nikategemea labda nguvu ya kuondokea itageuka lakini wapi
Kwa kweli Audi zote ni nzuri sana au tuseme heshima kwa mjerumani kwa gari zake zote
Niliendesha ikiwa na 3 miles on the clock ingawa kuna wengine huwa wanasema eti kitu 0 km lakini ukweli hakuna hiyo kila moja lazima ijaribiwe kabla ya kukabidhiwa
Mimi mpenzi zaidi wa SUV na Q7 ndio chaguo la uhakika ikiwa na V12 ingine
Inakwenda kama gari ndogo