Hii lodge niliyofikia leo imenikumbusha mwaka 2015 nilipokuwa Arusha field kikazi

Mi huwa siangalii sana bei ila hoteli ninayolala lazima iwe na maji moto, bed breakfast na iwe ghorofani kuanzia floor ya 2 na kuendelea na kama kuna any possibility huwa nalala upper floor
 
Mi huwa siangalii sana bei ila hoteli ninayolala lazima iwe na maji moto, bed breakfast na iwe ghorofani kuanzia floor ya 2 na kuendelea na kama kuna any possibility huwa nalala upper floor
Huogopi maghorofa ya fundi Maiko?
 
Ilishanitokeaga nikafanya kosa kwa kijipub flan hv cha kuitwa Chubwa (Jack ze boss) pale kahama hahah sitokaa nisahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom