Hii laptop Ram ina jaa na keyboard inajifanyia vitu kivyake

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
naombeni msada wenu .nina dell inpiron 640m ram yake kuwa over loaded sana keyboard ina ji fanyia vitu kivyake meaning ina kuwa kama ina ji press yenyewe hadi mashine inakuwa nzito nime badili window still the same thing driver za keyboard ziko fresh .naomben msadaa nw ntumia windows 7 proffessional 32 bit
 
angalia antivirus unayotumia zingine ukiwasha pc zinakuwa zinaskan mashine automaticl hali hii inafanya mashine kuwa busy muda wote.
 
Back
Top Bottom