Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

Tafuta sehemu kama hii.
1578062120056.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zote mbili ni 6th gen na sio 7th gen.

Hio i7 ni nzuri zaidi kama moja wapo ipo ndani ya budget ichukue. Zote mbili zina perfomance kubwa.
Kwahiyo hata games i7 inafaa (GTA 5) Inacheza vizuri na inaweza kuhandle kazi vizuri.
Mie nina duka la dawa ila huwa nafanya editing 3D sio sana ila nikijiskia na napenda games? Au nisiisukume ikafa?
Screenshot_20200107-141038.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20200107-140958.jpeg
    Screenshot_20200107-140958.jpeg
    47.2 KB · Views: 5
Kwahiyo hata games i7 inafaa (GTA 5) Inacheza vizuri na inaweza kuhandle kazi vizuri.
Mie nina duka la dawa ila huwa nafanya editing 3D sio sana ila nikijiskia na napenda games? Au nisiisukume ikafa?View attachment 1314793

Sent using Jamii Forums mobile app
Zote mbili i5 na i7 6200u na 6600u zitakuwa na perfomance karibia sawa kwenye editing na gaming, angalia ya bei rahisi kati ya hizo mbili chukua.

Vitu vyengine ni bonus kama ram kubwa, ssd, kioo cha full HD etc yenye hivyo vitu pia ipe priority zaidi.

Kwenye pc brand ina umuhimu mdogo sana.
 
Hapa unisaidie tena i5 ina Full hd 1080P kosa ina 4GB ram na i7 ina 8GB ram haina full HD iko HD(1366x768). Ipi hapo sasa? Yenye bei ndogo ni i5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa unisaidie tena i5 ina Full hd 1080P kosa ina 4GB ram na i7 ina 8GB ram haina full HD iko HD(1366x768). Ipi hapo sasa? Yenye bei ndogo ni i5

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimezicheki viZuri online kama utofauti wa bei si mkubwa chukua hio i7
1. Ssd yake ni msata hivyo sehemu ya hdd ipo haijatumika utaweza ongeza mwenyewe baadae
2. Tayari ina 8gb ambayo inafaa kwa hizo kazi na max support ni 32gb

Pia kuwa makini na matapeli msrp ya hii laptop ni zaidi ya milioni 3 ya kitanzania kuipata kwa hii budget kunaleta mashaka kidogo.
 
Niliona nijaribu kusubiri nitafute 8th gen kwa ajili na matumizi ya future nimekutana na hii vipi hapa bei Tzs 590,000/-(Ni Mpya)
Asus Vivobook Thin and Lightweight HD Laptop
Powerful 8th Generation Intel Core i5-8250U 1.6GHz (Turbo up to 3.4GHz) processor
15.6” FHD WideView display with ASUS Splendid software enhancement
14.2” wide, 0.8” thin and portable footprint with 0.3” ASUS NanoEdge bezel
Stunning 80% screen-to-body ratio
8GB DDR4 RAM and
128GB SSD+1TB HDD storage combo
Ergonomic chiclet keyboard with fingerprint sensor
Comprehensive connections including USB 3.1 Type-C (Gen1), USB 3.0, USB 2.0, and HDMI
Lightning-fast 802.11ac Wi-Fi keeps you connected through any congestion or interfere
3.jpeg
JO-33.jpeg
2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona nijaribu kusubiri nitafute 8th gen kwa ajili na matumizi ya future nimekutana na hii vipi hapa bei Tzs 590,000/-(Ni Mpya)
Asus Vivobook Thin and Lightweight HD Laptop
Powerful 8th Generation Intel Core i5-8250U 1.6GHz (Turbo up to 3.4GHz) processor
15.6” FHD WideView display with ASUS Splendid software enhancement
14.2” wide, 0.8” thin and portable footprint with 0.3” ASUS NanoEdge bezel
Stunning 80% screen-to-body ratio
8GB DDR4 RAM and
128GB SSD+1TB HDD storage combo
Ergonomic chiclet keyboard with fingerprint sensor
Comprehensive connections including USB 3.1 Type-C (Gen1), USB 3.0, USB 2.0, and HDMI
Lightning-fast 802.11ac Wi-Fi keeps you connected through any congestion or interfereView attachment 1317351View attachment 1317352View attachment 1317353

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapoelekea watakutapeli, no way hii laptop uipate chini ya milioni 1. Kwa hio 590,000 asilimia 99 huyo mtu anakutapeli.
 
Niliona nijaribu kusubiri nitafute 8th gen kwa ajili na matumizi ya future nimekutana na hii vipi hapa bei Tzs 590,000/-(Ni Mpya)
Asus Vivobook Thin and Lightweight HD Laptop
Powerful 8th Generation Intel Core i5-8250U 1.6GHz (Turbo up to 3.4GHz) processor
15.6” FHD WideView display with ASUS Splendid software enhancement
14.2” wide, 0.8” thin and portable footprint with 0.3” ASUS NanoEdge bezel
Stunning 80% screen-to-body ratio
8GB DDR4 RAM and
128GB SSD+1TB HDD storage combo
Ergonomic chiclet keyboard with fingerprint sensor
Comprehensive connections including USB 3.1 Type-C (Gen1), USB 3.0, USB 2.0, and HDMI
Lightning-fast 802.11ac Wi-Fi keeps you connected through any congestion or interfereView attachment 1317351View attachment 1317352View attachment 1317353

Sent using Jamii Forums mobile app

Duka gani?
 
Back
Top Bottom