Naombeni muiangalie mniambie ina uwezo ki Business, Games level za GTA 5, 3D editing, architecture vyote in general???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo haionyeshi aina ya gpu, ingia kwenye device manager->display adapters hapo ndio utaona.
Hapo haionyeshi aina ya gpu, ingia kwenye device manager->display adapters hapo ndio utaona.
Lakini hizo pc hazina dedicated gpu bali zina intel hd graphics 4000.
Wakati gta 5 inahitaji NVIDIA GTX 660 2GB
Na hii vipi?5th gen kwa laki 7 sikushauri, tafuta kuanzia 6th gen kwa hio budget ama ongeza kidogo nunua i3 8th gen mpya.
Duka gani nduguNa hii vipi?
*Dell Inspiron 3467*
Core i3 2.0ghz
6th Generation
ram 4gb
hdd 1tb(1000gb)
14" LCD Display
6hrs Battery Life
*BRAND NEW/BOXED PC*
One Year Warranty
*Price Tshs. 640,000/-*View attachment 1310777View attachment 1310779View attachment 1310780
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndo Bei yake haujatapeliwa hapo chukua, kwa 3d modeling haisumbui ukiwa na 3dsmax au cinema4d Ila kwa emulator inayobebwa na Android studio software inakua slow labda nox app player Ila game za kawaida inacheza pes, fifa, euro na american truck simulator n.kNaombeni muiangalie mniambie ina uwezo ki Business, Games level za GTA 5, 3D editing, architecture vyote in general??? View attachment 1310182View attachment 1310183View attachment 1310185View attachment 1310186View attachment 1310187View attachment 1310188
Sent using Jamii Forums mobile app
5th gen kwa laki 7 sikushauri, tafuta kuanzia 6th gen kwa hio budget ama ongeza kidogo nunua i3 8th gen mpya.
Hii ni used nadhani Bei ni sawa5th gen kwa laki 7 sikushauri, tafuta kuanzia 6th gen kwa hio budget ama ongeza kidogo nunua i3 8th gen mpya.
Mkuu used ni bora atafute gen ya 6 na 7, sababu Gpu yake ni much improved compare na ya 5 na atacheza hio gta V kwa low quality.Hii ni used nadhani Bei ni sawa
Pitia huu uzi
Hii si mbaya mkuu. Sema hio 4gb ram hairun game za kisasa mpaka uongeze kwenda 8gb, andaa kama 30k ama 40k kufanya hio upgrade.Na hii vipi?
*Dell Inspiron 3467*
Core i3 2.0ghz
6th Generation
ram 4gb
hdd 1tb(1000gb)
14" LCD Display
6hrs Battery Life
*BRAND NEW/BOXED PC*
One Year Warranty
*Price Tshs. 640,000/-*View attachment 1310777View attachment 1310779View attachment 1310780
Sent using Jamii Forums mobile app