Hii kweli halali Hawa mabeberu walichomfanyia huyu bushman

kiukweli hawa jamaa walikuwa wanatafuta mtu kama bushman ndio walipokuwa jangwa la kalahari wakakutana na nixau huyu,

Alikuwa hazijui pesa kweli malipo yake ya kwanza alitupa na badala yake alidai ng'ombe, hakuwahi kuwaona wazungu kabla..

Baada ya muda kuingia ile filamu ya God's must be crazy part 2 nixau alidai pesa ndefu jamaa wakashangaa kazijulia wapi pesa, hii ni kutokana na nixau kusafiri sana na wazungu hao na hivyo kuzijua pesa na matumizi yake.

Nixau alifuga ng'ombe 20 tu kutokana na kwamba alikuwa anajua kuhesabu mpaka 20 tu..

Wale watoto wawili baada tu ya movie ile hawakujulikana wako wapi tena, kiufupi walipotea mpka leo,.

Nixau alifariki miaka ya 2008 au na 2009 .
 
Hata hiyo Film lengo lake ilikuwa ni kumdhalilisha Mwafrika, kwamba ni sisi ni Primitive.kisha wakamzulumu sana Staring huyo.

Hao ndugu zetu wamedhulumiwa mpaka ardhi yao na Makaburu mpaka Mandela alipotoka gerezani na kuamuru warudishiwe ardhi ndipo wakarudishiwa kipande tu.

Serikali ya Botswana pia imewadhulumu Ardhi yao na kuyapa makampuni ya kigeni ya uchimbaji Madini ya Almasi.

Hao jamaa wameonewa na Makaburu enzi zile pamoja na sisi Waafrika wenzao.
 
Katika hawa wanaosifu muvi za jamaa zinaishi nina uhakika nikiuliza wangapi wameona filamu inaitwa Shamba Kubwa pengine asitokee hata mmoja hapa.
Hahahaa! Wakina Emmanuel Kaini na wale wahindi waswahili
 
kiukweli hawa jamaa walikuwa wanatafuta mtu kama bushman ndio walipokuwa jangwa la kalahari wakakutana na nixau huyu,

Alikuwa hazijui pesa kweli malipo yake ya kwanza alitupa na badala yake alidai ng'ombe, hakuwahi kuwaona wazungu kabla..

Baada ya muda kuingia ile filamu ya God's must be crazy part 2 nixau alidai pesa ndefu jamaa wakashangaa kazijulia wapi pesa, hii ni kutokana na nixau kusafiri sana na wazungu hao na hivyo kuzijua pesa na matumizi yake.

Nixau alifuga ng'ombe 20 tu kutokana na kwamba alikuwa anajua kuhesabu mpaka 20 tu..

Wale watoto wawili baada tu ya movie ile hawakujulikana wako wapi tena, kiufupi walipotea mpka leo,.

Nixau alifariki miaka ya 2008 au na 2009 .
Weeee! Wale watoto mmoja wao si alianzishiwa uzi humu ni mmaza mtu mzima
 
ilitakiwa aende airport kupanda ndege bila viza one way to Elen white headcorter USA baby!
Kwani huwajui wasabato masalia ndugu yangu Labda alitaka bush man afanye hivyo kwenda kudai mpunga wake walio mpiga huko mambele!
Wewe ni dhehebu gani hadi ulete kashifa za kidini kwenye Uzi wa mwenzio. Dhehebu unalosali halina mapungufu ambayo wao wakiyaanika hapa mtaonekana vituko?
 
kiukweli hawa jamaa walikuwa wanatafuta mtu kama bushman ndio walipokuwa jangwa la kalahari wakakutana na nixau huyu,

Alikuwa hazijui pesa kweli malipo yake ya kwanza alitupa na badala yake alidai ng'ombe, hakuwahi kuwaona wazungu kabla..

Baada ya muda kuingia ile filamu ya God's must be crazy part 2 nixau alidai pesa ndefu jamaa wakashangaa kazijulia wapi pesa, hii ni kutokana na nixau kusafiri sana na wazungu hao na hivyo kuzijua pesa na matumizi yake.

Nixau alifuga ng'ombe 20 tu kutokana na kwamba alikuwa anajua kuhesabu mpaka 20 tu..

Wale watoto wawili baada tu ya movie ile hawakujulikana wako wapi tena, kiufupi walipotea mpka leo,.

Nixau alifariki miaka ya 2008 au na 2009 .
wale watoto wapo,binti ameshakuwa Bibi,ingia hata Google na kwenye Wikipedia wameelezea wapo wapi na wanafanya nini
 
Katika hawa wanaosifu muvi za jamaa zinaishi nina uhakika nikiuliza wangapi wameona filamu inaitwa Shamba Kubwa pengine asitokee hata mmoja hapa.
Shamba kubwa film ya mapigano iliyo chezewa tanga

I still remember it
 
Wewe ni dhehebu gani hadi ulete kashifa za kidini kwenye Uzi wa mwenzio. Dhehebu unalosali halina mapungufu ambayo wao wakiyaanika hapa mtaonekana vituko?
Kashfa Gani nilizoweka hapa?
Huu so ukweli Kwani hawakwenda airport kupanda ndege bila viza?
😁😁😂 Kumbe siku hizi ukisema ukweli unakua unakashifu,hizo tabia za kuwaziba midomo Watu nani kawapa mamlaka yaani vituko mfanye nyie halafu mnataka tusiongee broo ukitaka uishi safe hama sayari hii ukaishi za Mbali huko kuepuka ya walimwengu!
😁😁😁😁
 
ilitakiwa aende airport kupanda ndege bila viza one way to Elen white headcorter USA baby!
Kwani huwajui wasabato masalia ndugu yangu Labda alitaka bush man afanye hivyo kwenda kudai mpunga wake walio mpiga huko mambele!
😅😅😅😅
Hivi huyu Hellen White ni nabii wa wasabato au ni mbeba maono wao....maana huwa sielewi wasabato misingi yao imesimama wapi hasa. Mafundisho yao mengi ni kutabiri mwisho wa dunia, ingawa wameingia chaka mara kibao, mafundisho kuhusu vyakula najisi, mafundisho kuhusu kwenda kuishi milimani na kula majani wakati wa dhiki kuu, mafundisho kuhusu alama ya mnyama na mpinga kristo na kuhusianisha na kanisa katoliki. Mkuu kama unajua zaidi kuhusu wasabato naomba udadavuzi, please.....
 
Back
Top Bottom