Abbassalum
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 338
- 176
wakuu habari za leo, bila kumung'unya maneno usiku wa Jana kuamkia leo uku uswahilini kwetu ukonga, kuna jirani yangu mmoja, vibaka wamemchania dirisha lake, kwa minajili ya kuiba, simu mapochi na ata funguo za gari, ukiweka kweupe kweupe, ndio imekula kwako iyo, na ukizingatia vijana wengi awana ajira, kwa kuweni makini sana, na wizi huu umerudi tena kwa kasi mno wakuu..!!!!