Hii kufikiria kwamba wazalendo tutakuwa tunafaidika na system Ni kujidanganya

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,643
Kwamba sisi tunaomtetea Rais na kumsemea na kutangaza kazi zake tutakuwa tunafaidika na pesa za CCM sio kweli.acheni kujidanganya mamilion ya watu wanamkubali Rais.hakuna Cha vijana wa lumumba wanaolipwa hela kutangaza kazi za Rais Makini Wala sisi sio watoto wa mawaziri au wabunge.sisi Ni watanzania wa kawaida kabisa ila sema tu tumefikiria Sana tukaona hukU tulipo ndipo pazuri.pima Mara mbili kata Mara moja..tukapima kule kwa kina lowasa na mbowe tukaona siko.tukapima hukU kwa kina Magufuli na bashiru tukaona Ni uhakika sio maigizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish Rubbish Rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nmeipigia kula Ccm tangia nilipofikisha umri wa miaka 18 kwa mujibu wa Sheria na katiba ya nchi lakini kura moja tu nilioijutia maisha yangu ni kumpigia Komredi John Pombe Magufuri......huo ndio ukweli wangu Bwana Ndege John.....hata kama atapita 2020 lkn kura yangu haitakuwa mojawapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikuwa CCM damu damu lakini kikichonifanya nikihame na Kujutia kumpigia Kura na kampeni,ila nimegundua kumbe Upinzani Ulikuwa sahihi.
 
Wengine hatujawahi hata kumiliki kadi ya ccm hata kukanyaga ofisi ya ccm never hata hao wakina Polepole na Dk.Bashiru hatujawahi kuwaona live halafu unashangaa mtu anakuita lumumba buku 7 eti unalipwa,eti unatafuta uteuzi kisa uko upande wa Magufuli mzalendo namba moja.
Wazalendo tuko upande wa Magufuli milele bila kujali maneno ya wapiga dili.
Acheni upumbavu hakuna anayelipwa hapa.
 
Nimesoma kidogo somo la propaganda katika somo la Saikolojia jamii

Kinachofanywa siku hizi ni kuaminisha Umma kwa kuugawa yule anaepinga uonevu na hali ya uchumi kudidimia basi ni kibaraka wa mabeberu na sio mzarendo

na mbinu walizotumia wakina Joseph Stalin kutawala ambapo hata waliojipendekeza kwake hawakuwa salama ni suala la wakati tu na wao wataiona tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom