Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,107
- 2,506
Kuna jamaa ana 30's kiumri, na mrembo binti wa umri kati ya miaka 16 mpaka 18 hivi, sasa jamaa anasema huyo msichana alipokuwa mdogo alikuwa akipenda sana kuwa naye karibu sana kiasi cha watu kumwambia si vizuri kuwa na uhusiano na mtoto mdogo kama huyo (wakati huo binti alikuwa bado mdogo kama darasa la tatu hivi au la nne)
Sasa jana kwenye sherehe ya mwaka mpya jamaa alinionesha jinsi huyo msichana anavyopenda kuwa naye karibu, kila alipo msichana anamfuata hata kama hajamwita na wanaongea kwa namna ya kiurafiki sana na msichana alikuwa huru sana mpaka nyamachoma anamletea jamaa kwa upendo kabisa.
Sasa alitoa swali, ninamnukuu "Hii ni nini? Ni UPENDO au nini? Maana toka zamani hisia hizi zilikuwepo na tukapoteana katikati hapo na leo tumekutana tena kwenye sherehe hisia ni zile zile kama za mwanzo na hii imekuwa tamu kupita ile ya mwanzo"
Na jamaa bado hajaoa na ana girl wake, na girl wake anajua hilo la huyo binti!