Hii kitu sisiemu ipo kwenye damu za watu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kitu sisiemu ipo kwenye damu za watu!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kimbweka, Jan 13, 2012.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kituko.jpg

  Mpaka kwenye keki zao za birthday zinataja jina....kweli kuwang'0a inahitaji nguvu ya zaidi ya ziada......
   
 2. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kama birthday ni ya mtoto wa kigogo au kigogo mwenyewe wa magamba unategemea nini?
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  mtoto wa magamba huyo lazima wataje chama chao
  ila duh mtoto mwenyewe anaelewa magamba ni nini aise
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mtoto wa fisadi huyo.
  Angekuwa mtoto wa mama ntilie au machinga au mpiga debe au mbeba zege thubutu
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  fisadI ana test km bado kuna wananchi wanakifia chama chao, aah wapi wezi wakubwa nyie
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Hatari kubwa.
   
 7. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  nailaani keki hiyo kwa jina la---igeuke sumu kali!!
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  pambafu kabisa!!!
   
Loading...