Hii kitu kweli au watu wameamua kutapeli kupitia mh zitto kabwe?

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,377
4,645
Leo katika pitapita yangu mitandaoni nimekutana na hii kitu...wanajamvi hii kitu inaukweli au magumashi?
Zitto Kabwe - Foundation ni msingi wa kimaendeleo ulioanzishwa katika mfumo wa Asasi ya kifedha ili kuwasaidia watanzania wa hali ya chini MASIKINI kwa kuwawezesha kupata mikopo nafuu isiyokua na riba na ya haraka zaidi ili kumsaidia kila mtanzania aweze kujikwamua katika maisha magumu na kupiga hatua kutoka katika umasikini. Asasi hii imeanzishwa kwa dhumuni la kumsaidia kila mtanzania haijalishi anatokea mkoa gani, kabila gani au yupo katika chama gani cha siasa, kila mtanzania atasaidiwa popote pale alipo.

Asasi hii imeundwa na Mh. Zitto kabwe MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI ikiwa chini ya udhamini wa Bank za NMB, CRDB pamoja na Mobile Banking zinazotoa huduma za kifedha TIGOPESA na M-PESA. Asasi hii ni mpya imeanzishwa rasmi mwaka 2013 kupitia udhamini wa chama cha ADVOLTICY LOANS kilichopo marekani kinachojihusisha na utoaji mikopo! Zitto Kabwe aliweza kupata miswada ya kifedha toka kwa wadhamini wa kuu nchini marekani na alipatiwa kiasi cha Shilingi Million mia tano kama msingi wa kumuwezesha kuanzisha Asasi hii ya kifedha ili kuwasaidia watanzania. Asasi hii imeundwa na Mh. Zitto kabwe MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI ikiwa chini ya udhamini wa Bank za NMB, CRDB pamoja na Mobile Banking zinazotoa huduma za kifedha TIGOPESA na M-PESA. Asasi hii ni mpya imeanzishwa rasmi mwaka 2013 kupitia udhamini wa chama cha ADVOLTICY LOANS kilichopo marekani kinachojihusisha na utoaji mikopo! Zitto Kabwe aliweza kupata miswada ya kifedha toka kwa wadhamini wa kuu nchini marekani na alipatiwa kiasi cha Shilingi Million mia tano kama msingi wa kumuwezesha kuanzisha Asasi hii ya kifedha ili kuwasaidia watanzania.



Asasi hii itahusika na utoaji mikopo kwa kila mtanzania pekee alie mkoa wowote ule ndani ya Tanzania na kwa kipindi hiki mikopo itakua ikitolewa kwa njia ya mtandao (Online) ili kurahisisha upatikanaji wa mikopo hii kwa kila mtanzania pia kulingana na udogo wa asasi hii kwani ndio kwanza imeanzishwa hivyo matawi yake bado hayajaenezwa katika mikoa yote Tanzania na mpaka hivi sasa inajumla ya wanachama 3472 waliojiunga na wakapatiwa mikopo ya pesa. Angalizo kwa vijana nafasi za ajira zitapatikana katika asasi hii pindi matawi yatakapo anza kuenezwa watatakiwa vijana kama mawakala na wafanya kazi wa matawi hayo yatakayowekwa na asasi hii na ajira zitatolewa kwa watakaojiunga na Asasi hii Atapatiwa na zawadi ya pesa taslimu Laki Tatu(300,000) ya bure kianzio cha maisha pamoja na BAJAJI MOJA.


FAIDA YA KUJIUNGA NA ASASI HII
Faida kubwa atakayoipata mwanachama atakae jiunga na asasi hii ya Zitto Kabwe - Foundation atapatiwa mkopo nafuu, usiokua na riba na hata husika na dhamana au amana, mikopo isiyokua na riba pia kwetu inafaida kwani lengo ni kuhakikisha kasi ya ukuaji wa uchumi na kujenga maendeleo ya mtu binafsi inaongezeka na kumkomboa kila mtanzania katika umasikini kwa kumuwezesha kimaisha. Pia tutahakikisha kila anaejiunga na kua mwanachama atapata nafasi ya ajira katika Asasi hii na sehemu mbali mbali.


UTARATIBU WA KUPATA MIKOPO
Mikopo ya fedha itatolewa kwa mwanachama pekee wa Zitto Kabwe - Foundation, atakaejiunga nakua mwanachama ndie atakaepatiwa mkopo wa pesa


SIFA ZA MWANACHAMA ILI AWEZE KUJIUNGA APATIWE MKOPO
Sifa kuu za wanachama tunaohitaji katika maombi ya kujiunga ili upatiwe mkopo nikama ifuatavyo:-

(a) UWE NI MTANZANIA

(b) UWE UMETIMIZA MIAKA 18 NA ZAIDI

(c) UWE NA AKILI TIMAMU

(d) UWE NA MOJA KATI YA VITAMBULISHO HIVI CHA KAZI, SEREKALI ZA MITAA, LESENI YA BIASHARA, KITAMBULISHO CHA CHUO, BANK au KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA na kiwe na namba ya utambulisho.

KAMA UNAZO SIFA HIZO UNARUHUSIWA KUJIUNGA NA TUTAKUPATIA MKOPO WA PESA.



AINA ZA MIKOPO INAYOTOLEWA KWA WANACHAMA
MKOPO WA KIMAENDELEO Mkopo wa kimaendeleo ni pamoja na Ujenzi wa nyumba, ununuzi wa samani (Fenicha), Ununuzi wa mashamba na Uchimbaji wa kisima, Mwanachama anaruhusiwa kukopa kuanzia laki tano (500,000) mpaka Million ishirini (20,000,000) mwisho na muda wa marejesho hauzidi miezi 39.

MKOPO WA BIASHARA Mkopo wa biashara kama mtu anahitaji kufungua duka au kufungua mradi wowote kwa lengo la biashara kuingiza kipato kupitia uwekezaji anaruhusiwa kukopa kuanzia laki moja (100,000) hadi Million tano (5,000,000) na marejesho yake ni miezi 12 tu.

MKOPO WA ELIMU Mkopo huu unalenga zaidi wanafunzi na wazazi wanaosomesha watoto shule kwa ajili ya kuwalipia karo (Ada) ya shule mkopo huu hutolewa Mwezi wa Sita na Mwezi wa kumi nambili, kiwango cha kukopa ni kuanzia Laki moja (100,000) hadi Million tatu (3,000,000). Marejesho yake nikati ya miezi 6 hadi mwaka 1

MKOPO WA HUDUMA YA AFYA Mkopo huu hutolewa kwa mtu ambae anamaradhi (Ugonjwa) mwanachama binafsi au ndugu katika familia yake kama anaumwa anaruhusiwa kukopa kiasi chochote cha fedha kisichozidi laki sita (600,000). Marejesho yake ni miezi 12


MAREJESHO YA MKOPO
Marejesho ya mkopo yanalingana na aina ya mkopo na makadirio ya mwanachama na kiwango cha pesa alichokopeshwa imeidhinishwa katika ibara ya marejesho baada ya mwanachama kupokea pesa za mkopo atatakiwa akae miezi miwili bila kufanya marejesho kisha ataanza kulipia kila wiki kiasi chochote kile cha fedha atakachopata kuanzia kima cha chini kinaanziaTshs. 60,000 (elfu sitini) na kuendelea kikubwa asipitishe muda wa miezi iliyopangwa kulingana na aina ya mkopo alio hitaji, kama mwanachama alipatiwa mkopo wa MAENDELEO atatakiwa marejesho yake yasivuke miezi 39 awe ameshamaliza kulipa deni, kama mkopo wake ni wa BIASHARA marejesho yasivuke miezi 12, kama ni mkopo wa ELIMU marejesho yasivuke miezi 6 na kama mkopo wake ni wa HUDUMA YA AFYA marejesho yake yasivuke miezi 12.

Utaratibu huu utamsaidia kila Mwanachama kuweza kumudu jukumu lake la marejesho kulingana na uwezo wake lakini kianzio cha kurejesha ni kuanzia shilingi elfu sitini na marejesho yote yatalipwa kila mwezi kuanzia siku ya Ijumaa tatu mpaka Ijumaa.


UTARATIBU WA KUREJESHA MIKOPO
Mikopo yote ni lazima irejeshwe kupitia Mobile banking kulingana na huduma hii ya Online Bank, kila mwezi mwanachama atatakiwa kurejesha deni lake kupitia akaunti yetu ya Tigopesa namba 0763 311 026 na kwa wateja wa VodaCom M-Pesa mnaweza mkalipia M-Pesa katika namba hii 0763 311 026 na pesa itafika bila tatizo hizi ni namba za Mh. Zitto Zuberi Kabwe maalum kwa malipo pekee zinatumika kwa ajili ya kufanya marejesho na malipo ya fomu pamoja na ada ya Uanachama unapojiunga. Hakikisha unapolipia ada au marejesho katika namba hizo linatokea jina la "ZITTO ZUBERI KABWE au ZITTO ZUBERI" endapo kama litatokea jina tofauti usitume pesa!


UIDHINISHWAJI WA MIKOPO
1.1 Mikopo yote Sharti iidhinishwe na kamati ya mikopo na kuhakikiwa na Afisa Mikopo

1.2 Fomu za wanachama watakaojiunga na maombi yote ya mikopo yatapokelewa na kamati ya mikopo.


MUDA WA KUPOKEA MKOPO BAADA YA KUJIUNGA
Mara baada ya kujaza fomu na kulipia ada pamoja na fomu, utatumiwa code ya uanachama kisha mkopo wako wa fedha utatumwa ndani ya dakika 45 baada ya maombi yako kuidhinishwa! Ifahamike kua endapo kama utajaza fomu na utashindwa kukamilisha usaili wako kwa kulipia fomu na ada ya uanachama hatutahusika na fomu yako na hautopokea mkopo wa fedha toka kwetu! Angalizo namba za malipo zilizotolewa zimesajiliwa kwa jina la Zitto Zuberi Kabwe hakikisha jina linalotokea ni Zitto Zuberi.


UNACHOTAKIWA KUFANYA ILI UPATE MKOPO
Ili uwe mwanachama wa Zitto Kabwe - Foundation na upate mikopo ya pesa unachotakiwa kwanza ni kujisajili kwa kujaza fomu yetu ya kujiunga katika orodha ya kitabu cha wanachama ili uwe mwanachama hai katika Chama hiki cha Zitto Kabwe - Foundation.

Unachotakiwa kufanya ni kujaza fomu yetu iliyopo katika mtandao / tovuti hii ya kujiunga na Uanachama Fomu inapatikana hapo chini kuna Link (Kimvuli) takiona kimeandikwa "FOMU YA KUJIUNGA" Bofya katika hiyo Link iliyoandikwa FOMU YA KUJIUNGA itafunguka na ikishafunguka utaona mpangilio wa fomu wenye vipengele vya kujaza maombi yako ya kujiunga na mkopo kwa ujumla, jaza fomu yote usiruke kipengele hata kimoja ukisha maliza kuijaza fomu mwisho wa fomu utaona Link (bottom) imeandikwa TUMA FOMU, bofya katika hiyo link fomu yako itaingia katika Database yetu na tutaipokea na kuhifadhi data zako. Hatua ya pili baada ya kujaza fomu ya maombi ya Uanachama ili upate mkopo unachotakiwa ni kulipia Tshs. 85,000 (ELFU THEMANINI NA TANO) ambayo itahusika na malipo ya fomu Tshs. 42,000 Pamoja na Ada ya mfuko wa Akiba ya Uanachama kama akiba yako Tshs. 85,000 (elfu themanini na tano) Jumla utakua umelipia hiyo Tshs. 85,000 (ELFU THEMANINI NA TANO). Kulipia kwako Tshs. 25,000 ni kwa dhumuni la kuchangia mfuko wa chama na kukuza chama cha Zitto kabwe - foundation ili kiendelee kuwa hai nilazima kulipia ili uweze kukamilisha usaili wako uwe mwanachama hai katika maintanance System ili tukupatie Code namba yako ya Uanachama tuweze kukutambua kama mwanachama wetu ndio tuweze kukupatia mkopo wa fedha kiasi unachokihitaji. Baada ya kujaza fomu na kukamilisha malipo yako ya uanachama utapokea meseji kupitia namba yako ya simu utakayoijaza katika fomu yako. Meseji hiyo itakua na utambulisho wa Code namba yako ya Uanachama hakikisha katika fomu unajaza namba yako ya simu unayotumia ya ukweli na uwe umejiunga na huduma za mitandao kama Tigopesa au Mpesa. Kumbuka baada ya kujaza fomu unatakiwa kuilipia fomu Tshs. 42,000 pamoja na Ada yako ya uanachama Tshs. 42,000 jumla utatakiwa kulipia Tshs. 85,000 elfu themanini na tano utalipia kwa njia ya mobile banking kupitia Tigopesa katika namba yetu ya tigopesa 0763 311 026 au unaweza ukalipia M-Pesa katika namba hii 0763 311 026 unapotuma pesa ya malipo hakikisha jina linalotokea ni "ZITTO ZUBERI".

Bofya katika hii Link ifuatayo iliyoandikwa "FOMU YA KUJIUNGA" utaikuta fomu ijaze yote



FOMU YA KUJIUNGA
:=:
 
Back
Top Bottom