hii kitu inashangaza sana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hii kitu inashangaza sana.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Born Star, Nov 5, 2011.

 1. Born Star

  Born Star JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  kitu kinacho nishangaza hivi kwa nini wanawake wabaya ukifanya nao mapenzi unakuwa na bahati sana lakini hawa warembo yaani wanaweke wazuri ukifanya nao mapenzi una amka na mikosi ya ajabu kwanini inakua hivi?
   
 2. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ukiamka ogea maji ya magadi ndio dawa yake
   
 3. s

  shalis JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  LOL..haya acha waje
   
 4. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  dah!....hii kalii
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Porn Star
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nadhani kwa ajili wengi wao ni makahaba..wana mikosi! siku moja mm kidogo nigongwe na gari, nilitoka kumfumua mmoja!
   
 7. O

  One tsh. Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hii imekaa kiimani imani fulan?
   
 8. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mikosi itoke kwako iwaendee warembo?
   
 9. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ndio changia sasa kiiman flan ipi hiyo?
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​ukiamka ogea maji ya UPUPU.
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tehe tehe tehe tehe, aiseeee kwa hiyo hukumrudia huyo demu kabisaaaa.
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nikupe jibu sahihi zinaa ni dhambi inayomchukiza Mungu, hivyo haijalishi umekwarua demu mkali au mbaya kwa mujibu wa akili yako lakini chukizo linabaki palepale. Halafu hakuna demu mkali kwa watu wote, huyo mkali kwako ni mbaya kwa mwingine kabisa. Uzuri wa mwanamke upo machoni pa mtazamaji,
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  usikute ulikuwa unawaza jinsi alivyokupeleka puta kunako sita kwa sita
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ni Mtazamo wangu tu! Ni kwamba kuna wanawake huwa hawana sijui nisemeje hapa,hawana upepo unapokutana nao hasa ya pesa kuna best mmoja alilala mchana kweupe na dada mmoja lakini yule best alilalama kama wiki moja hivi akilaani kukutana na huyo dada na ni mzuri kweli kweli kwa mtazamo wa umbo na mengineyo lakini kuna ki2 tunasema kuna wanawake wenye GUNDU!!!!!!
   
 15. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Teh!Yaani unamaanisha alipewa mambo hadi kutoka pale akawa haoni magari?
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kama unapata mikosi basi ujue haitokani na hao wanawake ambao unafanya nao ngono bali ni wewe mwenyewe ambaye una mikosi.
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  aisee...kazi ipo
   
 18. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,290
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  m mwenyewe nakuunga mkono na miguu maana hiyo ipo sana tu,
  m nafikiri wanawake wazuri wengi wamejiwekea madawa mengi ya kichaw ili wapendwe ndomana unakuta hivo mkuu!
  hyo ina maana zile nuksi zake ukikutana nae zinarud kwako!
   
 19. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  We utakua una micha milupo.
   
 20. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hii sredi imekaa kimikosi mikosi!! Shauri yenu mimi naenda kuoga damu ya yule kondoo!!
   
Loading...