Hii kitu ina nini!!!!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,596
5,787
Salaam wana Jf.
Hivi ngono ina nini?
Mapadr, mashekhe, viongozi wote wa dini zote wanafanya mema yote ila ngono inawashinda, watu wanavumilia kusengenya, wizi, unafiki n.k ila wanashindwa kuacha ngono. Hivi ngono ina nini?....???..
 
it is like a radioactive material i.e material which disintegrate to half of its initial value naturally.
natural disintergration inaletwa na energy ambayo haya material contain (heat, light wateva) ila lazima iwepo emissions flanflan ili kustablelize

the same to ngono lazima iwepo namna ya kuleta internal stabilization either kwa kudoo, kujichuna,chabo pornography but at the end of the day unapata utulivu maridhawa
 
Chezea kitu kingine lakini hapo wewe acha tu.Pana raha zake.Ndoa nyingi uvunjika chanzo lazima kunakunyimana au kugawa hiyo kitu nje .Lakini gawa pesa hata mabilinioni hakunashida..
 
Ile kitu tamu bana. We sikilizia utamu wake wakati unaifanya ndo utajua ni tamu. Hata haina mfanowe bana
 
Hiyo kitu ina nini?
Naamini ni rhetorical question athawaiz, .....
 
Jamanı jaman jamanı cjuı hata nıanzıe wapı!
 
Back
Top Bottom