Hii kitu imekaaje wadau ushauri

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Nilikuwa na Wanawake wawili ila ndani ya mwaka huu nimeachana nao wote
1:Tuliachana mwezi wa NNE sababu kubwa ni dharahu na jeuri
2:Mwezi huu pia nimeachana na mwingine
Ushauri ndani ya mwaka mmoja tumeachana na wanawake wawili
 
Unataka ushauri wa nini?
 
Embu toa maelezo kamili nijue naanzia wapi kukushauri. Maana ulichokiandika hapo hakieleweki.
 
Nilikuwa na Wanawake wawili ila ndani ya mwaka huu nimeachana nao wote
1:Tuliachana mwezi wa NNE sababu kubwa ni dharahu na jeuri
2:Mwezi huu pia nimeachana na mwingine
Ushauri ndani ya mwaka mmoja tumeachana na wanawake wawili
 
Attachments

  • FB_IMG_1498110462610.jpg
    FB_IMG_1498110462610.jpg
    38.4 KB · Views: 29
Nilikuwa na Wanawake wawili ila ndani ya mwaka huu nimeachana nao wote
1:Tuliachana mwezi wa NNE sababu kubwa ni dharahu na jeuri
2:Mwezi huu pia nimeachana na mwingine
Ushauri ndani ya mwaka mmoja tumeachana na wanawake wawili
Mkuu hao mbona wachache sana mimi kwa mwaka nilikuwa naachana na zaidi ya 15+ sasa nimetulia na Me too
 
Tatizo mnakutana wote wajuaji hamna anayetaka kujishusha kila mtu yupo juu kwa mwenzie
 
Back
Top Bottom