Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Wapi traffic police??????????????????????????/
kwani watu hawaruhusiwi kukaa kwenye Boot?
kwani watu hawaruhusiwi kukaa kwenye Boot?
nchi gani inaruhusu? tena hio ikitokea ulaya na marekan ni kashfa kubwa ata mkuu wa police anaweza kujiuzuru
Hiyo kawaida tu mbona!Zanzibar watu wanapanda mikokoteni inayovutwa na ng'ombe na hakuna anayeshangaa.
Safari_ ni _Safari
Tanzania yenye neema kila kitu kinawezekana,huku hata mtu afanye utumbo gani hakuna kujiuzurulakin mkuu iki ni kinyume na haki za binadamu sijui tanzania lakin ninavyojua kwa marekan hii ni kashfa inayoweza fanya mkuu wa police kujiuzuru
lakin mkuu iki ni kinyume na haki za binadamu sijui tanzania lakin ninavyojua kwa marekan hii ni kashfa inayoweza fanya mkuu wa police kujiuzuru